Nisaidieni kujua kwanini huyu kaka kaniganda kwa miaka minne

Binti wa kike una vibweka.Umri wako ni miongo mingapi?
 
Hio swala la mtoto tulizumgumza na alisema mtoto amekaa sana kwa bibi yake sio rahisi amtoe pale
 
Hongera sana Ndugu binti wa kike. Hapo umepata mtu anayekupenda. Mkubalie awe mumeo. Huyo jamaa yuko serious. Kuhusu mtoto ni kawaida sana kwa mwanaume. Mimi ni kijana mdogo wa miaka 38 ila nina mdogo wangu wa damu mwenye miaka miwili na nusu.
 
Asante kwa pongezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…