Labda kuwainua wadogo zake kiuchumi, mfano mimi nilikuaga na demu wangu sasa yeye alikua na sijui Malengo au uelewa mdogo au Wazazi wake wajinga sasa yeye alikua anafanya kazi Mshahara wake 250k nikashangaa anacheza mchezo ili kumjengea Nyumba Mama yake, na wakati huo Mama yake yupo ndani ya ndoa na Mama nikajifunza kitu ndiyo Maana Wanawake wengi wanajiuza.Una ndoto gani binti ambazo unataka kuzitimiza nje ya ndoa?
Unaolewa ili utimize ndoto ya kuwa mama kwa watoto wako, mke kwa mume wako na mlezi. Ndoto nyingine yoyote nje ya hapo ni UTAPELI KWA MUMEO NA JAMII.Habari zenu,
Naomba kuuliza swali:
Hivi mdada aliye na malengo na ndoto za kutimiza maishani mwake je, akiolewa anaweza kuzitimiza ndoto zake au ndo milango itakuwa imefungwa mazima ya kufikia ndoto zake na kubadilishwa kuwa mke na mama wa watoto
Kwani ukiwa ndani ya ndoa utakatazwa kujitafuta? Yani ukijaribu kujitafuta kwanza ndiyo utake kuolewa ndoa utaikosa ila utaipata kwa kufosi au kuishia kuzaa na mume wa mtu au utakuja kuwa mshangazi na kulea Vijana, Kwa Tanzania ya sasa hivi Binti ukichelewa sana kuolewa kumpata mtu wa vingezo vyako ni ngumu, mfano una umefikisha miaka 34 unazani mumeo utakae mpata ni wa umri gani ?Tujitafute kwanza au unasemaje😂tusije kuwa mama wa ndani
Mwanaume anaweza kuchangia kipi kwenye kufikisha malengo Yangu?!Muhimu nikupata mtu ambae ataku-support ndoto zako na malengo .
Na pia tabia yako ni muhimu usije ukatumia njia hiyo kuharibu ndoa.
Kama huyo mwanaume wa kusupport kwenye malengo yako humuoni na umewia kutimiza ndoto zako ni bora usiolewe kwanza.
Haya mambo ndio yakujadili kipindi cha uchumba au urafiki.
SIo kuwaza kunyanduana tuu.
Vipi kama nikitimiza ndoto na baadae nije kumsaidia majukumu huoni ntakuwa namnufaisha piaUnaolewa ili utimize ndoto ya kuwa mama kwa watoto wako, mke kwa mume wako na mlezi. Ndoto nyingine yoyote nje ya hapo ni UTAPELI KWA MUMEO NA JAMII.
Lolote ufanyalo linapaswa kulenga kutimiza hilo nililolisema, Bahati mbaya sana wanaume tumekuwa dhaifu kusimamia hili matokeo yake tumewaachia nyinyi mjiamulie ndoto zenu huku tukitegemea huruma na misimamo yenu ndo ilinde ndoa.
Wewe ndo mchawi nambari Moja😁Malengo gan ya mwanamke?? Olewa tulia humo ndo kwishney mchawi wewe
Kufanya kile nachohitaji kama kuendeleza elimu yangu hapo kwa baadaeVitu kama vipi mtoa mfano?
Hujanijibu ipasavyoWhat you see is limitation of your view.
Umeinua wangapi wakakuacha?!Ukimuinua mwanamke anakuacha. Usijesema hukuambiwa.
Mambo ya tbt hayoNdoto gani zaidi ya kupelekewa moto tuu.
Nyingi sanaUna ndoto gani binti ambazo unataka kuzitimiza nje ya ndoa?
Ni ngumu kufanikisha ukiwa mama tyrKuolewa si kikwazo kwa mwanamke kufanikisha ndoto zake, bali inategemea aina ya mwenza alionaye, juhudi zake binafsi, na jinsi anavyosimamia majukumu ya ndoa na maisha yake.
Mwenza anayemuunga mkono, mawasiliano mazuri, na mipango thabiti vinaweza kumwezesha mwanamke kufanikisha ndoto zake hata akiwa mke na mama.
Kumaanisha Nini mkuuKama wewe ni KE jaribu kutulia utapoteza mwelekeo
What's makes think they are great thinkers?!Wapo Ila if you're not a great thinker you cannot hang out with them .
Kazi ipoWatu km nyie mnaishiaga kuzalishwa na kuwa singo maza
Maswali unayouliza yana utoto mwingi .What's makes think they are great thinkers?!
Then you don't know what great thinkers are🤌Maswali unayouliza yana utoto mwingi .
Unaonekana. Wewe haujui nini maana ya ndoto
Utaishia kuzalishwa au Kuwa abortion mothers.
Take time to think is the source of power .
Ndoa za nyakati hizi ni watu wawili waliokutana katikati mmoja alikuwa anaelekea mashariki mwingine magharibi, katika hali ya kawaida walipaswa kupishana lakini wakaamua waunganishe safari.Vipi kama nikitimiza ndoto na baadae nije kumsaidia majukumu huoni ntakuwa namnufaisha pia