Nisamehe Rais wangu Magufuli

Bado hujasema, mpaka useme yote. Baada ya mapambio, muanze kutafuta kitubio. R. I. P JPM, hakika ulikuwa shujaa kweli kweli.
 
uo wimbo tuwekee hap
 
Narudia KILA MKOJA ASHINDE MECHI ZAKE. Nyie misukule ya Magu endeleni kumsifia, na sisi TUSIOMPENDA tutaendelea KUFICHUA uchafu wake. Wasomaji ndiyo watakuwa waamuzi.
 
Zilipendwa hii
 
Rais Samia anayo mapungufu mamkubwa sana ktk uongozi wake. Usimamizi wa rasilimali, nidhamu ya watumishi, ufisadi, etc ni maeneo ni baadhi ya maeneo serikali imeonesha udhaifu mkubwa. Hata hivyo mh. Samia anavumulika kuliko shetani.
 
Magufuri hakuwa na maajabu sana ila maboko anayotoa Kizimkazi yanamfanya aonekane alikuwa lulu
Huyu pimbi wakujianika kwenye miamba kama kenge? Na kula mahindi hadharani kama nyani? CCM walitukosea sana, Ila Mungu akafanya masahihisho 17/ 03/21. Nchi iko salama mikononi mwa Samia
 
Umechelewa sana kujua,CHADEMA na uongo wao walikupoteza,hongera sana kushtukia majizi yaliyojificha nyuma ya kivuli cha Demokrasia. Karibu CCM
 
Rais Samia anayo mapungufu mamkubwa sana ktk uongozi wake. Usimamizi wa rasilimali, nidhamu ya watumishi, ufisadi, etc ni maeneo ni baadhi ya maeneo serikali imeonesha udhaifu mkubwa. Hata hivyo mh. Samia anavumulika kuliko shetani.
Tena mbona shetani anavumilika kama mimi ndio ningekuwa Magu ningekuwa za ya kim jongo mauaji ya kushanta ya wala rushwa aisee
 
Kwa niaba ya Sukuma Gang tumekusamehe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…