Nishauri chochote niache kuyaogopa maisha

Mkuu sio rahisi wakuelewe pini ngumu sana hii.
 
Pole sana sis, Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi. Jitahidi sana kusali na punguza hofu,amini utakuwa sawa.
 
Pambana. Hesabu tu utukufu wa M/mungu

Unasikia. (Japo kwa uduni)
Unaona. (Japo kwa uhafifu).
Una mikono miwili.
Una miguu miwili.

Na kubwa zaidi upo HAI (Unapumua)

Na kwa kuwa wewe ni binadamu fahamu tunakuzingatia matokeo yako hata kama tutakunyima msaada.
 
Pole utakua sawa kila kitu ni subra..ningeandika mengi ningesema mengi..itoshe kusema siku zoteee tumtegemee muumba maana yeye ndiye mweza wa yoteee..
 
In every action there is equal an opposite reaction😅
Yaaah ndo hvo...
Kila kitu hutokea kwa sababu
Ukute kuna sehmu alifanya action...

Hivo now yupo ku receive reaction...
Kama ukifanya action jua tuu Reaction itakuja hivo hivo equally
 
Ndo maana nikawa najiuliza dada la madada yuko wapi. Naungana na wanachama wenzangu juu ya kusali lakin katika hizo sala, ombea sana mfumo wako wa uchumi. Kuna hatua ambazo umepiga, nature ya koo zetu za kiAfrica iwe ni miungu na mila huwa zinaanzaga kureact ukishaanza kupiga hatua.

Kama ni mKristo, soma Exodus 1. Farao alivyoona waIsrael wanaflourish katika ardhi ya Misri kilimuuma, wakastrategize namna ya kuwadiminish. Kuna maagano hayaruhusu mtu kuvuka viwango flani. Kuna maagano ya kikabila pia. Ni somo refu kidogo lakini jifunze kuombea mfumo wa uchumi wako na kukabidhi vitu vyako kwa Bwana. Bwana asipoulinda mji alindaye....The kingdom of God is violent, and the violent take it by force. Get stronger miss...pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…