Nishauri chochote niache kuyaogopa maisha

Nishauri chochote niache kuyaogopa maisha

Dunia haipo na maradhi hayapo binadamu hawapo pia nikama ndoto. Au Animation game.
Ndani kunamatukio yote,watu,magari,wanyama,pombe,maadui majumba yakifahari na wanawake wazuri wenye chura ila uhalisia havipo kabisa nindoto tuu.
Ubongo kushindwa kupata tafsiri sahihi juu yako wewe mwenywe imefanya uone huu ndio uhalisia ila ndoto ukaipa jina
UONGO.
Mkuu sio rahisi wakuelewe pini ngumu sana hii.
 
Pole sana sis, Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi. Jitahidi sana kusali na punguza hofu,amini utakuwa sawa.
 
Wasalaaaam
Sijui niiwekaje hii,. Lakini naogopa tu nikiwaza haya maisha yanatakiwa yaende aje,, na kwanini inakua hivi[emoji848][emoji848]

Au ni kwasababu nimeumwa sana nimeanza kupoteza matumaini?? Ata sijui nawaza nini[emoji119][emoji119],.
Yaani iko hivi, ni mwezi wa pili sasa unaelekea watatu siwezi kufanya chochote,,. kazi zangu na shughuli zangu ambazo nilikua nafanya mwenyewe ni watu ndio wananisaidia kufanya ( Hakuna hata kimoja kilichopo kwenye mstari,. Kila kitu kimevurugika, Hawafanyi kama ambavyo mwenyewe hua nafanya🥹🥹)..

Watu hata nyumbani naona wanalichukulia hili suala kawaida lakini mimi linaniogopesha sana,. Imagine nilikua nasikia vizuri tu lakini saizi sisikii,. Eti macho nayo yameanza kusumbua yaani navaa miwani hatakama sisomi kitu[emoji848][emoji848],. Kwamfano ndio ikawa hivi hivi mwisho wa siku si na miguu nayo itaanza kutokutembea na mikono kutokufanya kazi ( Na vipi kama ikiwa kweli???) Ina maana ndoto zangu zote ndio zitakua zimeishia hapa au??

Niambie au nishauri chochote ili niondokane na hii sijui ndio fear of unknown au nini??
Pambana. Hesabu tu utukufu wa M/mungu

Unasikia. (Japo kwa uduni)
Unaona. (Japo kwa uhafifu).
Una mikono miwili.
Una miguu miwili.

Na kubwa zaidi upo HAI (Unapumua)

Na kwa kuwa wewe ni binadamu fahamu tunakuzingatia matokeo yako hata kama tutakunyima msaada.
 
Wasalaaaam
Sijui niiwekaje hii,. Lakini naogopa tu nikiwaza haya maisha yanatakiwa yaende aje,, na kwanini inakua hivi🤔🤔

Au ni kwasababu nimeumwa sana nimeanza kupoteza matumaini?? Ata sijui nawaza nini🙌🙌,.
Yaani iko hivi, ni mwezi wa pili sasa unaelekea watatu siwezi kufanya chochote,,. kazi zangu na shughuli zangu ambazo nilikua nafanya mwenyewe ni watu ndio wananisaidia kufanya ( Hakuna hata kimoja kilichopo kwenye mstari,. Kila kitu kimevurugika, Hawafanyi kama ambavyo mwenyewe hua nafanya🥹🥹)..

Watu hata nyumbani naona wanalichukulia hili suala kawaida lakini mimi linaniogopesha sana,. Imagine nilikua nasikia vizuri tu lakini saizi sisikii,. Eti macho nayo yameanza kusumbua yaani navaa miwani hatakama sisomi kitu🤔🤔,. Kwamfano ndio ikawa hivi hivi mwisho wa siku si na miguu nayo itaanza kutokutembea na mikono kutokufanya kazi ( Na vipi kama ikiwa kweli???) Ina maana ndoto zangu zote ndio zitakua zimeishia hapa au??

Niambie au nishauri chochote ili niondokane na hii sijui ndio fear of unknown au nini??
Pole utakua sawa kila kitu ni subra..ningeandika mengi ningesema mengi..itoshe kusema siku zoteee tumtegemee muumba maana yeye ndiye mweza wa yoteee..
 
In every action there is equal an opposite reaction😅
Yaaah ndo hvo...
Kila kitu hutokea kwa sababu
Ukute kuna sehmu alifanya action...

Hivo now yupo ku receive reaction...
Kama ukifanya action jua tuu Reaction itakuja hivo hivo equally
 
Ndo maana nikawa najiuliza dada la madada yuko wapi. Naungana na wanachama wenzangu juu ya kusali lakin katika hizo sala, ombea sana mfumo wako wa uchumi. Kuna hatua ambazo umepiga, nature ya koo zetu za kiAfrica iwe ni miungu na mila huwa zinaanzaga kureact ukishaanza kupiga hatua.

Kama ni mKristo, soma Exodus 1. Farao alivyoona waIsrael wanaflourish katika ardhi ya Misri kilimuuma, wakastrategize namna ya kuwadiminish. Kuna maagano hayaruhusu mtu kuvuka viwango flani. Kuna maagano ya kikabila pia. Ni somo refu kidogo lakini jifunze kuombea mfumo wa uchumi wako na kukabidhi vitu vyako kwa Bwana. Bwana asipoulinda mji alindaye....The kingdom of God is violent, and the violent take it by force. Get stronger miss...pole sana.
 
Back
Top Bottom