Nisikilizwe nishauriwe ukweli mtupu nisije kujuta maisha yangu yote

Tumeachana zamani sana yaani ni ex wangu wa kishuleshule hata utamu hatujawai kupeana ni zaidi ya Miaka 8

Mimi ndio nilimuacha na sio kwasababu ya mtu kwa kipindi hicho siku na hisia za kupenda nilijisikia tu kumuacha na hatukugombana japo yeye kwa miaka yote anataka tu tuwe na mahusiano
 
Uamue huku ukimshirikisha Mungu wasukuma wengi ni washirikina utashangaa hauzai kwny ndoa mpya..ni bora umwambie ukweli na umwambie kuwa kwenu watakutenga ukiolewa mke mdogo mkubaliane uondoke
Sawa japo mke wake ni wa kaskazini
 
Sawa dear
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ vitisho
 
Ukweli ndio niliouandika huyo ex hana nguvu kwangu maana hatuna bond yoyote kati yetu
 
Basi mimi nilijua labda mshamba mshamba mmoja mchunga ng'ombe...umeyavagaa mwanetu, na huyo ukimuacha atahakikisha huondoki na kitu hapo
Amna huyu msomi tena wa vyuo vya nnje so sio mshamba
 
Duuh Sawa
Ila huyu ex wangu sio wa ukubwani ni wa utotoni na hatukuwai kuhusiana kimwili ndio maana ikawa rahisi kuachana… so nilimuacha miaka 8 iliyopita Mimi nilikuwa mtoto na yeye alikuwa mtoto so Hakuna sababu strong za kuachana
 
Ngoja tuone
 
Pole sana, umeolewa na mume wa mtu bila kujua ni mume wa mtu sio! Pole sana.

Ni wakati wa wewe kukubaliana na hali, na kufanya maamuz ambayo utaishi kwa amani. Husifanye maamuzi kwa hisia ukaja kujudia baadaye.
Sawa Asante
 
Sawa Ila Kama chartgpt maana alinijibu hivi 🀣🀣🀣
 
Ila huyo jamaa kamdanganya vitu vingi sana, mtu kusema miaka 27 wakati ana 35 hata macho huoni?

Sema Mshikaji alikuwa Msukuma na kama Demu ana Rangi nyeupe basi alimpaghai kwa pesa na simu nzuri nzuri hapa hakuna Mwanamke anachomokaga
πŸ˜‚πŸ˜‚ Mimi kweli ni mweupe pee Ila kwenye mahusiano hakuwai kunihonga kitu kikubwa labda tukionana ndio aniachie kakitu..

Kuhusu umri nafikiri aliniona ni mdogo yeye ni mkubwa akitaja umri wake naweza mkataa labda alijua nitataka wa rika langu
Kimuonekano hiyo Miaka 35 hafiti labda 30
Miaka yake niligundua nilipoona pasport yake

Anyway tulikutana Dar na yeye alikuja kikazi hakukuwa makazi yake so hata kuonana kwa miaka yote Mimi nilikuwa namfuata alipo mpk mwaka huu ndio tunakaa wote
 
Well
 
kadogo2 mapenzi yanamtesa na nyuzi zake za uongo na kweli πŸ™Œ

Mungu akusaidie kwa magumu yote unayopitia sababu ya mapenzi,ukapate atakayekuwa mkweli na atulie na wewe
Amen Amen Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…