Nisikilizwe nishauriwe ukweli mtupu nisije kujuta maisha yangu yote

Kuna ex wangu nili soma nae shule tukaachana zamani hiyo kwasababu za umbali amerudi anataka kunioa nawaza nimuache tu huyu nirudi kwa ex au nikae nae tu hivyohivyo
Ex wako ana umri gani?
 
Kwaiyo ningekuwa Nina 30 ungesema nibaki nae???
Dunia imebadilika sana mjukuu wangu, wengi wanatafuta upendo wa kweli wanakosa. Kama huyo uliyenaye anakupatia muda na mahitaji muhimu na kuna future mbeleni, jaribu kutulia.
 
Mbona mnanidogodesha jmn nimesema nilipokutana nae ndio nilikuwa na 24 now Nina 27

Sasa kuondoka na hivyo vitu vya dukani natokaje na ndio kwanza duka la miezi 4 tu na kila kitu ni yeye kaweka mkono wake kwamba nimtoroke kimyakimya
 
Dunia imebadilika sana mjukuu wangu, wengi wanatafuta upendo wa kweli wanakosa. Kama huyo uliyenaye anakupatia muda na mahitaji muhimu na kuna future mbeleni, jaribu kutulia.
Tatizo mama mijengo wanaturoga na mie naogopa
 
Hapo kwenye kumuachia kila kilicho chake ndio kuna utata. Huyo msukuma angekua masikini mbona bi dada angeshasepa bila hata kuaga
kwa hiyo mkuu unamshauri aondoke navyo huwezi jua roho ya mutu pengne anaweza akaondoka navyo then ikamletea madhara mbeleni kama hataki kuishi naye atenane naye tu au ww unaonaje
 
hasa utaendaje kuishi na mutu humpendi huoni kama ni tatizo lingne
 
Kwa hiyo mwanaume ni 28, wewe mwanamke ni 27 ??

Kwa kigezo cha umri pekee hamuendani. Muda si mrefu atakuona ka bibi yake
😂😂😂😂😂 hilo nalo Kweli maana huyu mubaba kanizidi Miaka karibu 8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…