Nisikilizwe nishauriwe ukweli mtupu nisije kujuta maisha yangu yote

Ukewenza ni hatari kwa afya, kimbia UKIMWI utakukuta sasahivi.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hilo nalo Kweli maana huyu mubaba kanizidi Miaka karibu 8
Enhee, hiyo tofauti ya umri ndo sahihi. Mwamba anakuwa anakuona dogodogo anakufurahia hata nyege zinakuwa hazikomi
 
SEMA HAPA MAMA MIJENGO WANANISONYA TU

ASA MIMI NIFANYAJE JAMANI 🀭🀭
 
Nando maana nikamshauri amachane na vitu vyake ili akaishi kwa amani huko

Ila kwa ushauri wangu angekaa tu na msukuma kuwa mke wa pili mbma jambo la kawaida
 
Nando maana nikamshauri amachane na vitu vyake ili akaishi kwa amani huko

Ila kwa ushauri wangu angekaa tu na msukuma kuwa mke wa pili mbma jambo la kawaida
Wewe mnyiramba
 
A
Akiuwawa mnakuja kusema Msukuma ni mbaya
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…hawanitakii mema wanataka nipigwe risasi kama yule jamaa wa mwanza miaka ya nyuma alieua mke na kujiua
 
πŸ˜„πŸ˜„ Hao wasukuma sindio walimpiga mtu Risasi baada ya kupiga missed call 47 , so wee mjaze tu mwenzio πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚ nakuambia na Mimi nimekumbuka yule jamaa mweu Sana
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…hawanitakii mema wanataka nipigwe risasi kama yule jamaa wa mwanza miaka ya nyuma alieua mke na kujiua
Imagine πŸ˜„πŸ˜„

Kuna mwingine alimchoma mkewe Kwa gunia la mkaa kigamboni so kuwa makini

Ushauri wangu --- life's a gamble so kama huyo msukuma ana ku- provide Kwa Kila kitu tulia nae tu mfanye maisha akuone mke wa pili but you have to make sure mnakaa chini mnakubaliana kwanza kuhusu masuala ya maki utakazo chuma nae zihusike na wewe tu pamoja na kizazi chako only

Maisha Yana mambo ya ajabu sana mambo mengi Tunayo jipangia hayawi vile tunavyotaka sometimes nature ndio Huwa unaamua Cha kutupangia

So unaweza ukaamua kuachana na huyo mwanaume na usije kupata mwanaume Bora kama yeye ukaishia kuumizwa na kuteseka , maisha ni fumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…