RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
Simamia msimamo wako!kama ni uganga unatafuta zindko kwani kwenye biashara unafanyaje!!?maombi pekee au poda!!Tatizo sio mimi tatizo huyo mukewe atakubali au ndio kurogwa tu
Nachoogoa ni migogoro haswa ya kurogana maneno siogopiii ila sangoma ndio naogopa
ππππBiashara yangu inaenda ki Mungu Mungu tuSimamia msimamo wako!kama ni uganga unatafuta zindko kwani kwenye biashara unafanyaje!!?maombi pekee au poda!!
Hamna mtu asiyepigwa..sema huna network ya kamati ya roho mbaya na mipangoSidhani kama itawezekana maana ni mtu Ambae anajielewa ameelimika sio mshambamshamba.. kitabu kimepigwa sana humo na exposure ya wanawake ni mzoefu π
β£οΈUnataka Kutoka kwa bwana kuhamia kwa bwana mwingine, binti wa miaka 24 huna mambo yako binafsi yakufanya?
Mpaka hapo hakuna kitu chochote ulichojifunza.
Ningekuelewa ungeondoka na vitu vya hilo duka , uhamishie sehemu nyingine uendelee kupambana utakutana na mtu mwingine ukiwa umetuliza akili.
Ndio hivo na usijue Nani kauleta.Mtumeee π³π³
Tatizo huwa mnahisi kila msukuma ni mshamba...Sidhani kama itawezekana maana ni mtu Ambae anajielewa ameelimika sio mshambamshamba.. kitabu kimepigwa sana humo na exposure ya wanawake ni mzoefu π
Ushauri mbaya sana huu,Ningekuelewa ungeondoka na vitu vya hilo duka , uhamishie sehemu nyingine uendelee kupambana utakutana na mtu mwingine ukiwa umetuliza akili.
Sipo nae kwasababu ya hela nipo nae kwakuwa nimempenda kwanza hata tunafahamiana Hakuwa na hela tulikuwa wote tunafanya kazi sehemu moja sema tu akaotea mchongoTatizo huwa mnahisi kila msukuma ni mshamba...
Pole sana kwa yalivyo kukuta...
Hapo huna chako jamaa ana kutumia kama second hand..
Kingine angalia anacho kufanyia sasa ulinganishe na life la mtaa... Usije kuanza kulia tena
Cha kushauri angalia moyo wako in life kama bado hujaamua kufanya maamuzi ni heri usiyafanye kabisa.
Wanawake type yako huwa wanaishia paabay because mnatamaa sana. Hapo kinacho kuweka no jamaa ana mawe na anakuhudumia ila unajua fika kabisa Hina chako... Mali zote ziko kwa mke wake OG.
Hapo jibu unalo mwenyewe hakuna ushauri
β€οΈβ£οΈ
Na Hilo ndio linanipa wasiwasi maana ananiambia baba yake ana wake 5 kwao watoto wapo 36 mama yake ni bi mdogoLeo unadhani wewe ni mke wa pili kesho unashtuka kumbe wewe ni mke wa nneππππ,hiyo ilimkuta shosti wangu kwa bwana wake mwenye pesa,mbaya zaidi yeye alizalishwa na mtoto, wanaume wa hivyo huwa hawabadiliki na wanaona hayo wanayofanyia wanawake ni sawa na wana haki kisa wana pesa. Bora usepe uendelee na maisha yako,ila usirudi kwa X, jijenge kwanza kiuchumi mambo ya mapenzi weka sub kwa sasa. Ukibaki kwa huyo msukuma nakuona utakavyolia kama ambulance miaka michache ijayo.
ππππ naomba connection basi maana mimi nae Nina hurumaHamna mtu asiyepigwa..sema huna network ya kamati ya roho mbaya na mipango
Mmm inafikiriisha ujue.... Yaani ndani ya miezi hiyo 7 mkajuana mkafanya kazi Sehem moja.... Jamaa akajipata akakufungulia duka. Na bado huku jua kama anafmilia??Sipo nae kwasababu ya hela nipo nae kwakuwa nimempenda kwanza hata tunafahamiana Hakuwa na hela tulikuwa wote tunafanya kazi sehemu moja sema tu akaotea mchongo
Sina tamaa
Ukinifungulia duka linakuwa langu au lako? Hiyo ndio faida aliyopata katika hayo mahusiano aondoke nalo.Ushauri mbaya sana huu,
Imagine jamaa ndo anafacilitate duka... Unahisi huyo mwanamke ataweza ku handle! Hapo kama anaamua kumwacha ni bora aende akaanze upya...
Ikiwezekana akubali ya kuwa bado hana maisha kabisa.... Arudi nyumbani awasaidie wazazi huku akitafta namna ya kupata kazi aanze kujitegemea... Lasivyo atakimbia na mali, maisha yatamoiga alaf atarudi kwa msukuma tena.
Wanawake wengi sana huwa na illusive way ya kuyaona maisha wanadhani maisha ni rahisi rahisi tuu. Wengi wao wakitelekezwa akili ndo huwa zinawajia
Tatizo unaruka uzi nimesema huko juu tuna mahusiano kwa miaka 3 hiyo miezi 7 ni ya kuishi pamojaMmm inafikiriisha ujue.... Yaani ndani ya miezi hiyo 7 mkajuana mkafanya kazi Sehem moja.... Jamaa akajipata akakufungulia duka. Na bado huku jua kama anafmilia??
Labda kama ulipindisha storii. Na kama mlikuwa mnafanya kazi Sehem moja kwa nini ukiacha kazi kama sio tamaa?
Je duka linakuingizia doo kubwa kuliko Ajira? Jiangalie wewe sio huyo mwanaume.
Yes, linakuwa lako ila what caused mpka nikufungulie.... Si napata kitu kutoka kwako.?Ukinifungulia duka linakuwa langu au lako? Huo ndio faida aliyopata katika hayo mahusiano aondoke nalo.
Una see future gani ya kumla amaYes, linakuwa lako ila what caused mpka nikufungulie.... Si napata kitu kutoka kwako.?
Incident nyingine ni kuwa na kufunguliwa duka because I see a future with you.. Sio bure tu. Lasivyo ningekuwa nakupa vijisenti ukale bata
Wewe ni MALAYA,endelea KUTOMBWA tu Ili uleHabari za muda humu
Nitasema ukweli Kama Kuna hukumu Basi nihukumiwe wote tunakosea Hakuna mkamilifu
Nachoitaji ni ukweli mchungu hata kama utaniuma ni sawa ilimradi nisiharibu maisha yangu maana Naona kama shetani amedhamiria kuniharibia maisha
Nimeshaleta story ya Kijana wangu wa kisukuma humu mkanishauri nikashupataza shingo
Huyu mwanaume tuna miaka 3 sasa tangu 2024 na Nina miezi 7 toka nianze kuishi nae..Tulikutana nikiwa na 24 yeye aliniambia ana 27( alinidanganya now ana 35)
Amenitoa nyumbani kwetu kanipeleka mkoa anaoishi yeye(kanda ya ziwa) ndugu zangu wanajua Niko nafanya kazi kumbe nimewekwa kinyumba na msukuma
Amenifungulia Biashara ninayoiendesha mwenyewe kwani aliniambia nitafute wazo la Biashara yeye ataniwezesha ametimiza inaendelea vizuri na yeye hausiki na chochote kwenye hiyo Biashara na ananihudumia vizuri
Changamoto
Tulikuwa na ugomvi mzito tangu mwezi wa 6 baada ya kugundua ana mke (amemlipia mahari wamezaa watoto wawili kwa msukuma ukishalipiwa mahari ni mke tayari)
Ukweli nimeumia sana maana sikutegemea Kama ningekutana na kitu Kama hiki
Lakini mwenzangu yuko kawaida kabisa Kama Hakuna kilichotokea anasema ni kawaida kwao kuoa mitala nitulie Mimi ndio mke mdogo yule atabaki kwenye nafasi yake Kama mke mkubwa na Hakuna anaeachwa
Hii hali inaniumiza Kila nikifikiri mekuaje nimejiingiza humo
Halafu yeye hajali yaani kama Hakuna kilichotokea
Sasa Kuna ex wangu nili soma nae shule tukaachana zamani hiyo kwasababu za umbali amerudi anataka kunioa nawaza nimuache tu huyu nirudi kwa ex au nikae nae tu hivyohivyo
Nishauriwe jamani msianze kunichamba na maneno ya kejeri π₯Ίπ₯Ί