Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mathayo 24:8Huu nao ni usanii kama mwingine tu.
Kuna dini zingine ni Peponi kwa muumini akiwa duniani, na zingine ni jehanamu kwa muumini duniani,Yesu Kristo ambaye ndiye NENO la Mungu alituachia injili na Roho Mtakatifu kutuongoza safari ya Mbinguni.
Mambo yafuatayo ni machukizo mbele za Mungu
Marko 16: 15-16
- Bikira Maria kws sababu hakuna maandiko yanayosapoti ibada ya kupitia Maria ili kumfikia Yesu au Mungu
- Ibada ya Sanamu. Yapo makanisa yamesimika sanamu kwenye makanisa hayo na watu wsnapiga goti kuomba rehema kupitia sanamu hizo wskiamini wapo salama
- Sanda, Yesu alituachia Imani na siyo historia hizi zilizopikwa na shetani na kulikabidhi kanisa lieneze uongo na kuwapoteza wengi
- Holly grail. Kikombe cha karamu ya mwisho. No such a thing
- Kubatiza watoto. Watoto wsnabarikiwa na wakubwa wanabatizwa baada ya kumkiri Yesu kama Bwana na Mwokozi wake. Mtoto anazaliwa huru hadi atakapoamua kuongoka kumfuata Yesu ndo anafanyika kuwa mkristo na mwanafunzi wa Yesu.
- Ibada za ndoa. Jambo hili limewekwa na kanisa kudhibiti waumini. Ndoa Takatifu ni pale ambapo mtu mume akishamaliza taratibu za kumposa mwanamke na hapo wanakuwa tayari wanandoa. Kuwaita watumishi wa Mungu kuombea ndoa ni jambo jema lakini watumishi hao wa Mungu kujitwalia mamlaka ya kufunga na kuvunja ndoa ni kukufuru agizo la Mungu kwenye eneo hilo
- Ibada za mazishi. Imenenwa kuwa kufa ni mara moja na baada ya kifo ni Hukumu. Hata Yesu hakufanyiwa ibada ya maziko. Hakuna sala wala tendo lolote linaloweza kubadilisha hatima ya mtu baada ya kifo chake. Jambo pekee liwezekanalo ni kumfufua endapo itampendeza Mungu. Kufanyiwa ibada baada ya kufa ni makufuru mbele za Mungu.
- Mungu kuchanganywa na Kaisari. Yesu alisema hauwezi kutumikia mabwana wawili ambapo utampenda mmoja na mwingine utamchukia. Huwezi kumpenda Mungu kisha ukaipenda fedha. Fedha ni mamlaka ya kidunia na watumishi wote walioingia kwenye mamlaka za dunia huku wakiwa na kofia zao za utumishi wana nafasi yao motoni kwa sababu wamekaidi injili na kushiriki karamu za kinyama na uharibifu.
Basi enendenj mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Aaminiye na kubatizwa ataokoka, asiyeamini atahukumiwa
Mwenye kuongeza neno la uvuvio aongezee yanayotukumbusha utume na agizo la Yesu Bwana wetu
10. Mapambo kwa wanawake ni machukizo mbele za MunguYesu Kristo ambaye ndiye NENO la Mungu alituachia injili na Roho Mtakatifu kutuongoza safari ya Mbinguni.

Umesahau kitu kimoja, hiyo biblia pia wao ndio wameihifadhi na ndio wame-iframeYesu Kristo ambaye ndiye NENO la Mungu alituachia injili na Roho Mtakatifu kutuongoza safari ya Mbinguni.

Luka 19:40Umesahau kitu kimoja, hiyo biblia pia wao ndio wameihifadhi na ndio wame-iframe
ambayo ndio msingi wa madhehebu yote ya kikristo.
Mbona hujibu kwamba hiyo biblia hao ndio walikuwa nayo pia na wameiframe waoLuka 19:40
Akajibu, akasema, Nawaambia ninyi, wakinyamaza hawa, mawe yatapiga kelele.
Roho Mtakatifu akuongoze kwenye hili pia
Bibilia ni mkusanyiko wa Maandiko Matakatifu na ukiiondoa Injili ambayo waandishi wake wengi walifahamiana na kuishi karne moja lakini agano la kale ambalo ndo msingi wa agano jipya, waandishi wake hawakufahamiana na hawakuishi pamoja. Hebu fikiria nikikwambia Ayubu hakuwa Muisrael kama alivyokuwa Rahabu wa Yeriko na kadhalika.Mbona hujibu kwamba hiyo biblia hao ndio walikuwa nayo pia na wameiframe wao
Barikiwa sana mkuu.Mkuu Msanii amani iwe nawe. No. 2 Naomba nikupe andiko kabisa Kumbukumbu la Torati 4:15-19
Mkuu wangumleta mada akasome biblia ya vitabu72siyo ya66 hapo ataona kuhusu maelezo yake ya namba7
Unaruka ruka kama maharage, hivyo vitabu unavyo quote sioBibilia ni mkusanyiko wa Maandiko Matakatifu na ukiiondoa Injili ambayo waandishi wake wengi walifahamiana na kuishi karne moja lakini agano la kale ambalo ndo msingi wa agano jipya, waandishi wake hawakufahamiana na hawakuishi pamoja. Hebu fikiria nikikwambia Ayubu hakuwa Muisrael kama alivyokuwa Rahabu wa Yeriko na kadhalika.
Kuishika ama kuiunganisha Biblia kwenye mtiririko siyo hakimiliki ya kuhodhi njia ya kwenda uzimani. Kumbuma Eli Kuhani alisikiwa na Mungu ingawa alitenda uovu yeye na wanae.
Nimekupa huo mstari wa Neno la Yesu kuhusu mawe kunena kwa sababu mawe hayana uhai wala nafasi kwenye ufalme wa Mungu lakini anayweza kuyatumka kueneza habari za Ufalme wake kama vile Balaamu alivyowabariki wana wa Israel pale alipoitwa na Balaki ili awalaani
Tupo... Tumsifu Yesu kristoWakatoliki