Nitaifichaje hii aibu ili niweze kurudisha heshima yangu

Mlevi akikwambia kitu ni kweli!Jamaa Yako aliahidi laki5,mbona hakutoa?
 
Mkuu hata usijali. Sisi huwa tunaita ajali kazini. Take it easy. Usiombe yeyote msamaha. We rudi kazini endelea kuchapa kazi.

Wote wanajua si tabia yako ni pombe ilikuzidia so tembea na huo mstari. Na weka na utani kabsa.

Usiishi kwa kujuta. Kawaida sana.

Kwanza hiyo heshma walikuja kukuambia wanayo mpaka sasa hv useme imevunjika?
 
Hilo mbona sio tatizo, piga kazi jifanye haukumbuki kituo na usipende kuongelea tena hiyo inshu hata humu JF, kifupi mtu akikuliza kuhusu inshu hiyo jibu kijasili sikumbuki kisha badilisha story, siku 7 tu watu washasahau.
 
Kwakuwa unataka kurudisha heshima,basi fanya yafuatayo.
.nunua gari Jeep compass,hili gari ni bei ndogo tu ila itakuwa ya pekee. Kila ukipita watakuangalia watesema ni ya yule jamaa aliye lewa sana.hata wale ulo watongoza watatamani ulewe tena ili uwatongoze.

.Kazini wasalimie sana watu…ila muda
wote nuna sana huku ukiwa na roho nzuri.
 
Wa Italia Wana msemo wao mmoja ""IN WINE ,THERE IS TRUTH.""
""IN WINE THERE IS WISDOM""for years ma spy wamekua wakitumia pombe ili kupata ukweli..Mara nyingi mtu akilewa lazima aseme yaliyo jificha moyoni.

Binafsi Mimi huwa nikipataga changamoto/ MAGUMU huwa najiambia hili nalo litapita ni Jambo la muda yatapita be strong Kuna walio lewa na yakawakuta makubwa zaidi yako..

Be a man..Tena be a real man acha kubakia kwenye hiyo page fanya ku skip focas na kazi zako engine yaachie muda maana muda ni BEST TEACHER

NB.
POMBE, BANGI,VILEVI VYOTE KWA UJUMLA WAKE HAVIJAWAI KUA VIBAYA AU MBAYA TATIZO NI MTU MWENYE HUWEZI KUSHINDANA NA POMBE MZEE...WEWE ENDELEA KUNYWA KWA KIASI/ JUA LIMIT YAKO ISHI HUMO..KUNYWA FOR RECREATION PURPOSES TENA JION BAADA YA KAZI

aisome min -me
 
Hilo mbona sio tatizo, piga kazi jifanye haukumbuki kituo na usipende kuongelea tena hiyo inshu hata humu JF, kifupi mtu akikuliza kuhusu inshu hiyo jibu kijasili sikumbuki kisha badilisha story, siku 7 tu watu washasahau.
Unataka kunikumbusha story ya mbuni kuficha uso/ sura kwenye kichaka alafu mwili wote uwe Nje.

True..jamaa awe na confidence hata hao KAZINI wata sahau pia inaonyesha jamaa ni underground kwenye tasnia ya ulabu..

Awe anakunywa kwa kiasi CHUPA mbili na asizid tatu.
 
Kaka nimeisoma kwa ufasaha kabisa , pombe ni ya wafalme na wakuu , tatizo la siku hizi kila mtu anatumia tu, na isitoshe inasemekana tatizo la afya ya akili ni kubwa , halafu uchanganye na pombe tena , just imagine 🤔
 
Aisee umenitia nguvu
 
Pombe zimesaidia watu wajue tabia zako halisi, ni ulikuwa unazificha tu. Iliwahi kusemwa in "wine, there is truth".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…