min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Vinoko sana hivyo vidadaAf ukute kamropokea church girl huyu jamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vinoko sana hivyo vidadaAf ukute kamropokea church girl huyu jamaa
😹😹😹 Tatizo hajaongea wanywaji tumpe nondo..!!Una akili mingi sana tatizo mwamba anaona walokole ndio wana ushauri wa maana eti🤔
Pombe hainaga cha kifupi mzee baba, utajifanya unaongea kwa ufupi ila ukishindwa kujikaza utasikia anyway , ujue kwisha.Uzuri wa pombe ukilewa umelewa tu hainaga siri.Kausha mtu atayeuliza mjibu kifupi sorry mambo ya pombe tuendelee na kazi.
kwanza anajishtukia tu hta hawajali kabisa, na ukute washasahau kwann ujitie hatia wakati hukumpiga mtu , kila mtu ana faults zake kibao, ukiona ana shughulika na yako bs ana matatizoWaite halafu kunywa tena na wazingue tena, baada ya hapo watachukulia kawaida..!!
Sio kila moto unazimwa kwa maji, sometimes moto unazimwa kwa moto..!!
Kwa msaada wa Gemini AI hapa chini kuna sababu kwa nini watu wakilewa kupitiliza hawawezi kusema uongo / kudanganya.Unajua kwa nini?
NAKAZIA HAPA... Kuna mambo yakishatokea you cant undo them...Relax mkuu.
Kawaida sana hizo kwa watu wa pombe.....punguza kujilaumu na kujihukumu kwa vitu vidogo kama hivi.
Heshima hujengeka kwa miaka na miaka lakini huvunjwa siku Moja TU 🤣Habari zenu ndugu zangu ,
Mimi ni mtumishi idara Fulani sasa juzi tulikuwa na hafla fulani au tuseme ni ziara fulani nje ya mkoa sasa ikapelekea kunywa pombe kupitiliza na kuanza kuropoka yaani kila mfanyakazi mwenzangu alijua kwamba nimelewa na wengine kuwaweka wazi kuwa nawapenda sasa hii kwangu ilishangaza mno watu kiasi kwamba kuanza kunishangaa mno.
Mimi sio mnywaji wa pombe kabisa ila nilikuwa kama kichaa baada ya kulewa kupitiliza hivyo imekuwa aibu na fedheha kiasi kwamba mpaka nilipopanga wamejua kuwa nililewa na kuanza a kuongea maneno ya hovyo hivyo ni aibu kweli kweli na pia kabisa naona heshima yangu imeshuka mno
Nifanyaje ndugu zangu niweze kuirejesha heshima niliyokuwa nayo kazini, kwenye jamii na hata kwa wale niliowakosea japo sio wote wamenambia kuwa niliwakosea najua kuna ambao niliwakosea lakni hawawezi kusema
Hapa nina mawazo mno yani najiona mkosaji kuliko wakosaji wengine mana sijawahi kulewa na kudhalilika kiasi kile
HAPA NIMEANDIKA NIKIWA NA MAWAZO MENGI MNO KICHWANI YANI KILA NINAYE MUONA NAHISI ANANIZUNGUMZIA MIMI HASA KWA HESHIMA NILIYOKUWA NAYO
NISAIDIENI MAWAZO YANANITESA
#NIMEAPA POMBE SITOGUSA MPAKA NAINGIA KABURINI
Ana dharau sana kijana , aambiwe tu pombe zilishatukutanisha na wakubwa na tukalamba madili mpaka kesho yake unajitazama kwa kioo unacheka tu😆😹😹😹 Tatizo hajaongea wanywaji tumpe nondo..!!
Walokole ndo mitakataka gani? 🤣
Anaogopa macho ya watu, wakati kanisani kwetu kulikuwa na upadrisho mapadri wamelewa na wanabambia nyimbo ya “Mimina ziteremshe tuzipokee bwana” 😹😹kwanza anajishtukia tu hta hawajali kabisa, na ukute washasahau kwann ujitie hatia wakati hukumpiga mtu , kila mtu ana faults zake kibao, ukiona ana shughulika na yako bs ana matatizo
Mkuu hiyo ni akili bandia ila akili ya kawaida ni kwamba wanywa pombe ni watakatifu walio salia duniani achana na walevi waliokosa akili.Kwa msaada wa Gemini AI hapa chini kuna sababu kwa nini watu wakilewa kupitiliza hawawezi kusema uongo / kudanganya.
1. Kulegea kwa Udhibiti wa Akili (Inhibition Loss) – Pombe hupunguza uwezo wa ubongo wa kujidhibiti, hivyo mtu anaweza kusema mambo ambayo kawaida angeyaficha au kuyachuja.
2. Kuongezeka kwa Uwazi (Honest Drunk Effect) – Watu wakilewa mara nyingi huwa na ujasiri wa kusema hisia zao za kweli kwa sababu hawahisi aibu au hofu ya matokeo.
3. Kupungua kwa Uwezo wa Kufikiria kwa Undani – Kudanganya kunahitaji mtu afikirie, apange, na ajikinge ili uongo wake usijulikane. Pombe hupunguza uwezo wa mtu wa kupanga, hivyo kufanya iwe vigumu kudanganya kwa mafanikio.
4. Mabadiliko ya Hisia na Maadili – Pombe inaweza kuathiri maadili ya mtu kwa muda mfupi, na kuwafanya wasiwe na msukumo wa kuficha ukweli.
Haukupaswa kuleta hii issue humu. Haya angalia comments za watu ngapi zimekujenga na ngapi zinazidi kubomoa.Habari zenu ndugu zangu ,
Mimi ni mtumishi idara Fulani sasa juzi tulikuwa na hafla fulani au tuseme ni ziara fulani nje ya mkoa sasa ikapelekea kunywa pombe kupitiliza na kuanza kuropoka yaani kila mfanyakazi mwenzangu alijua kwamba nimelewa na wengine kuwaweka wazi kuwa nawapenda sasa hii kwangu ilishangaza mno watu kiasi kwamba kuanza kunishangaa mno.
Mimi sio mnywaji wa pombe kabisa ila nilikuwa kama kichaa baada ya kulewa kupitiliza hivyo imekuwa aibu na fedheha kiasi kwamba mpaka nilipopanga wamejua kuwa nililewa na kuanza a kuongea maneno ya hovyo hivyo ni aibu kweli kweli na pia kabisa naona heshima yangu imeshuka mno
Nifanyaje ndugu zangu niweze kuirejesha heshima niliyokuwa nayo kazini, kwenye jamii na hata kwa wale niliowakosea japo sio wote wamenambia kuwa niliwakosea najua kuna ambao niliwakosea lakni hawawezi kusema
Hapa nina mawazo mno yani najiona mkosaji kuliko wakosaji wengine mana sijawahi kulewa na kudhalilika kiasi kile
HAPA NIMEANDIKA NIKIWA NA MAWAZO MENGI MNO KICHWANI YANI KILA NINAYE MUONA NAHISI ANANIZUNGUMZIA MIMI HASA KWA HESHIMA NILIYOKUWA NAYO
NISAIDIENI MAWAZO YANANITESA
#NIMEAPA POMBE SITOGUSA MPAKA NAINGIA KABURINI
Halafu ma paaadiri wana katabia kakuchanganya kale ka damu ya yesu na nyagi , wakisha kagida unaona wananuru ya utukufu kabisa.Anaogopa macho ya watu, wakati kanisani kwetu kulikuwa na upadrisho mapadri wamelewa na wanabambia nyimbo ya “Mimina ziteremshe tuzipokee bwana” 😹😹
Na kesho wako altareni wanaendesha misa km hakuna kilichotokea..!! 🤣
Vipi umeshaanza kusoma magazeti?Habari zenu ndugu zangu ,
Mimi ni mtumishi idara Fulani sasa juzi tulikuwa na hafla fulani au tuseme ni ziara fulani nje ya mkoa sasa ikapelekea kunywa pombe kupitiliza na kuanza kuropoka yaani kila mfanyakazi mwenzangu alijua kwamba nimelewa na wengine kuwaweka wazi kuwa nawapenda sasa hii kwangu ilishangaza mno watu kiasi kwamba kuanza kunishangaa mno.
Mimi sio mnywaji wa pombe kabisa ila nilikuwa kama kichaa baada ya kulewa kupitiliza hivyo imekuwa aibu na fedheha kiasi kwamba mpaka nilipopanga wamejua kuwa nililewa na kuanza a kuongea maneno ya hovyo hivyo ni aibu kweli kweli na pia kabisa naona heshima yangu imeshuka mno
Nifanyaje ndugu zangu niweze kuirejesha heshima niliyokuwa nayo kazini, kwenye jamii na hata kwa wale niliowakosea japo sio wote wamenambia kuwa niliwakosea najua kuna ambao niliwakosea lakni hawawezi kusema
Hapa nina mawazo mno yani najiona mkosaji kuliko wakosaji wengine mana sijawahi kulewa na kudhalilika kiasi kile
HAPA NIMEANDIKA NIKIWA NA MAWAZO MENGI MNO KICHWANI YANI KILA NINAYE MUONA NAHISI ANANIZUNGUMZIA MIMI HASA KWA HESHIMA NILIYOKUWA NAYO
NISAIDIENI MAWAZO YANANITESA
#NIMEAPA POMBE SITOGUSA MPAKA NAINGIA KABURINI
Ni kweli kabisa. Ila watu kama nyie mpo kwa ajili ya kusaidia watu kama wao 😜😅Ni vizuri huyu mdau mwenzetu awe anakunywa kwa kiasi/ kipimo na asizidishe kabisa.
Angalizo.
Kuna binadamu wengine wakianza kulewa hawashauriki kabisa wanakuaga Kama vichaa yaani ni noma Kuna huyo brother angu askari yeye atateketeza pesa zoteee alizo nazo kwa kugawa offer za bia,misosi na nauli kwa watu asio wajua alaf kesho asubuh Dr am 4 real PhD nitumie pesa sina kitu kabisa 🧐
😹😹😹 Halafu ukilewa unakuwa na ka confidence ka kishetani..!!Ana dharau sana kijana , aambiwe tu pombe zilishatukalisha na wakubwa na tukalamba madili mpaka kesho yake unajitazama kwa kioo unacheka tu😆
Wewe kausha atakayekuuliza mwambie sikumbuki, uombe msamaha utaomba wangapi?Habari zenu ndugu zangu ,