Nitaifichaje hii aibu ili niweze kurudisha heshima yangu

Nitaifichaje hii aibu ili niweze kurudisha heshima yangu

Nje ya mada
Hivi kwanin uki m quote mtu uki reply comment inakuwa blank!?
mods shida nin?
 
Yes! Na ninapenda sana hasa siku za mwisho wa wiki
Ni vizuri huyu mdau mwenzetu awe anakunywa kwa kiasi/ kipimo na asizidishe kabisa.

Angalizo.
Kuna binadamu wengine wakianza kulewa hawashauriki kabisa wanakuaga Kama vichaa yaani ni noma Kuna huyo brother angu askari yeye atateketeza pesa zoteee alizo nazo kwa kugawa offer za bia,misosi na nauli kwa watu asio wajua alaf kesho asubuh Dr am 4 real PhD nitumie pesa sina kitu kabisa 🧐
 
Wa Italia Wana msemo wao mmoja ""IN WINE ,THERE IS TRUTH.""
""IN WINE THERE IS WISDOM""for years ma spy wamekua wakitumia pombe ili kupata ukweli..Mara nyingi mtu akilewa lazima aseme yaliyo jificha moyoni.

Binafsi Mimi huwa nikipataga changamoto/ MAGUMU huwa najiambia hili nalo litapita ni Jambo la muda yatapita be strong Kuna walio lewa na yakawakuta makubwa zaidi yako..

Be a man..Tena be a real man acha kubakia kwenye hiyo page fanya ku skip focas na kazi zako engine yaachie muda maana muda ni BEST TEACHER

NB.
POMBE, BANGI,VILEVI VYOTE KWA UJUMLA WAKE HAVIJAWAI KUA VIBAYA AU MBAYA TATIZO NI MTU MWENYE HUWEZI KUSHINDANA NA POMBE MZEE...WEWE ENDELEA KUNYWA KWA KIASI/ JUA LIMIT YAKO ISHI HUMO..KUNYWA FOR RECREATION PURPOSES TENA JION BAADA YA KAZI

aisome min -me
Ahsante kaka kwa ushauri mzuri
 
kuna watu wanajinyea kabisa, na kesho wanadunda mtaani bila aibu,....munapoambiwa pombe sio chai, muwe munaelewa....hapo bado hukupigwa pipe huku ukirekodiwa, kisha kesho yake uanze kulipa hela ili video zako zisivuje.........
 
Kaka nimeisoma kwa ufasaha kabisa , pombe ni ya wafalme na wakuu , tatizo la siku hizi kila mtu anatumia tu, na isitoshe inasemekana tatizo la afya ya akili ni kubwa , halafu uchanganye na pombe tena , just imagine 🤔
Ni kweli mkuu, kunywa sio dhambi ni kwa ma champion na washindi wa vita..
Sasa unakuta mtu ana abuse alcohol lazima imzingue una jua unatakiwa kujua alcohol persistence yako mfano kuna mwingine anahimili kunywa mzinga mdogo wa konyagi mwingine hawezi hata castle lite mbili zunampanda kichwani
 
Ndivyo pombe ilivyo haina vinyogo na huwa ina tabia ya kusamehe na kuwakarimu wengine .
mm nilishawah kufanya kituko cha mwisho kabisa, yaani nilisema sitaigusa tena maana nilitia aibu ya mwaka, ila baada ya siku tano nimo tena, kwa umakini zaid
 
Back
Top Bottom