Nitaifichaje hii aibu ili niweze kurudisha heshima yangu

Nenda kwa babu kaoge... mweleze mkasa mzima utaoga maelekezo ya kuondoa mikosi nuksi na kila aina ya vijicho..

ukipenda uje inbox nikupe namba ya mtaalam wa mitishamba kutoka Katoro myajenge
Katoro ya Geita mkuu?
 
Apitie hapa ataelewa...nna jamaa qngu yey alilewa hadi akavua nguo...ila next day kazi kama kawa....nlishangaa sana ule ujasiri...yaan rungu nje nje jamii mzimq inamtazama ila hakuhofia chochote
Kuna siku nililewa nikamtongoza mke mdogo wa mwenye bar...kesho kanipigia kuuliza eti niko serious _nikasema ndio....nikampitia kiukweli.

Tabata
 
Ukikosa heshima mtaani au kazini kaweke heshima baa 😀. Nenda baa kapige vyombo kuzidi hapo utajenga heshima baa!
 
Kuna siku nililewa nikamtongoza mke mdogo wa mwenye bar...kesho kanipigia kuuliza eti niko serious _nikasema ndio....nikampitia kiukweli.

Tabata
Hahaha...huwa inapandisha ma confidence si poa..jamaa itakuwa ndo form one wa gambe
 
Kwani hio heshima inakusaidia Nini wakati huu ambao tyar imeshashuka!!! Achana nayo..

Focus masuala yako ya kazi tuu.., na kwa namna gani unaingiza pesa!! Watu wanalewa wanacheza na warembo kibao!!

Wanawashika matako maweita, na walevi wenzie itakuwa wew?

Kila mtu anajua ilikua pombe!! Cha msingi furahia tuu..

But in Long-run pombe sio nzuri kiroho, na ndo kitu inakutesa
 
Nlivyoelewa ni kwamba 1. Wewe siyo mnywaji au unakunywa kidogo na hulewi 2. Ni siku hiyo tu ulikunywa na kulewa na kufanya vituko. Ushauri: hupaswi kuona aibu kwani heshima yako iko pale pale. Wewe ndiye unadhani imepungua kumbe haijapungua. Hii ni kwa sababu kila mtu anajua ulifanya vile kwa sababu ya pombe na siyo kawaida yako. Badala ya kuona aibu, jichangaye nao huku ukiwaambia wakueleze ulivyofanya vituko. Yaani fanya kama iwe ni kichekesho lakini mkishacheka wewe sema ''daa sijui kama nitarudia tena kunywa namna ile maishani'' Pengine hujui tu lakini kwenye parts za sehemu za kazi watu hufanya vituko mno. Laiti ungehudhuria part yenye wafanyakazi wazungu ndiyo ungejua kweli pombe ni mwanaharamu. Miaka ya nyuma kuna mfagiaji wa ofisi aliwahi kutishia kumfukuza kazi meneja kwa sababu tu alilewa kwenye part ya kufunga mwaka. Kwa kifupi ni kuwa ni wewe una wasiwasi na aibu tu lakini jambo kama hili hutokea sana sana.
 
Mbona unayakuza,kikubwa umeacha pombe waombe msamaha ulioeakosea
 
Watu wanalewa kwenye pati za kazini mpaka wanajisaidia jikoni na wapo tu.

Wengine walilewa wakavua nguo tena mabosi na heshima zao, na wapo tu.
 
UKIONA UNALEWA NA KUROPOKA,UJUE WEWE NI MPUMBAVU ULIYECHANGAMKA SEMA UNAKOSA NAFASI YA KUIONYESHA JAMII UPUMBAVU WAKO!
 
Usirudie tena kulewa, binadamu tuna asili ya kusahau kadri muda wa tukio unavyoondoka.Kwa hiyo na wewe aibu yako itasahaulika.
 
We shida yako ipo kichwan na itakua ngumu sana kuitibu, pia itakua rahisi kuitibu, kuna wenzako walishawahi vua nguo mbele za watu na waka move on ww unataka ku delete the past which is not possible, achana na past we move on bro
 
Jamii yetu imekuwa na watu wengi hasa wenye matatizo ya afya ya akili. Ukayavuruge mwenyewe kwa upumbavu wako uje humu kuomba namna ya kuyasahihisha!
 
Ahsante boss
 
Jamii yetu imekuwa na watu wengi hasa wenye matatizo ya afya ya akili. Ukayavuruge mwenyewe kwa upumbavu wako uje humu kuomba namna ya kuyasahihisha!
Sijakuomba wewe unaweza kaa kimya hunisaidii chochote zaidi ya chuki na unaonyesha dhahiri unaroho yakorosho boss
 
Vumilia yatapita maisha yatasonga.. Binadamu tumeumbiwa kusahau.. Ila next ukitaka kunywa zingatia haya matatu muhimu
1. Wewe ni nani
2. Uko wapi
3. Unafanya nini..
 
Kaka
Vumilia yatapita maisha yatasonga.. Binadamu tumeumbiwa kusahau.. Ila next ukitaka kunywa zingatia haya matatu muhimu
1. Wewe ni nani
2. Uko wapi
3. Unafanya nini.
 
Kabla ya kunywa pombe mbona hujatushikisha, au ulidhani Sisi si chochote si lolote katika maisha yako?

Poor Brain mzabzab Mbaga Jr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…