GE2025 Nitaijibu hotuba ya Askofu Gwajima kwa kina muda wowote ule kuanzia sasa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa hiyo mama hawezi kujibu hadi asaidiwe na rostum na mwashamba?

Acheni kumdhalilisha mama yetu jamani sio poa, mama genius huyu hajaomba msaada wa chawa kumjibia...
 
Katembelee kwanza kaburi la wote mliowaua sababu ya madaraka ...ndio uje umjibu Askofu Gwajima.
 
 
Chawa Promax.

Kujipendekeza kwa kiwango cha juu kabisa, Hakujawahi tokea toka Dunia iumbwe.


 
Ujibu wewe kama nani? Gwajima tunamfahamu, wewe ni nani? Ujumbe wa Gwajima alikuwa anakwambia wewe?
 
Imesema mamlaka iliyo juu zaidi. Kujaribu kwenda kinyume ni insubordination isiyosahemeka...

Hakuna cha kujibu hapo bali ni kutenda kwa kuzingatia ushauri vinginevyo kila kitu kipo hapaπŸ‘‡
Mithali 29:1 SUV
"....Aonywaye mara nyingi akishupaza shingo, Atavunjika ghafula, wala hapati dawa..."

​
 
Wewe Lucas Mwashambwa huna data, uwelewa, uwezo wala akili ya kumjibu Gwajima.
Kama unabisha anza na ile amri aliyotoa Gwajima kwamba kanisa lake LAZIMA lifunguliwe ndani ya siku kumi.
 
We Bwana Sijui Unajikuta Nani Aisee

Lakini Kwa Nchi Hii,nisikukazie Sana Unaweza Kushangaa Mtu Kama Ww
Ukapewa Ukuu Wa Mkoa Au Uraisi
Mwaka 2030.
 
Acha ujinga pumbav kbs unamjibu wew kama nan? Usilete Uchawa penye hoja za msingi!! Watanzania adui namba moja kwasasa Tanzania ni hawa machawa!! Shenzy kbs acha tabia kama za huyu mama hapo chini πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20210923-073528.png
    1.1 MB · Views: 15
Mkuu, Gwajiboy amewasemea wananchi.
Ukipigwa risasi kwa kutetea wananchi utafurahi au mtu wako wa karibu akitekwa, utatetea?
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ€£njaa njaa njaaa njaaaa njaaaaa
 
Hakuna udini wala ukabila kinachosumbua wengi ni uchawa, unafiki na ujinga mwingine. Anayoyasema Gwajima kimantiki yanasemwa na watu wengi tu mitaani.

Lipi kati ya alilosema Gwajima ambalo halilalamikiwi mtaani?? TISS wapo wanajua kwa kuwa ni wajibu wao kutafuta, kusikiliza, na kuchambua na kuchakata taarifa, maoni na ushauri unaotolewa na wananchi kisha kumshauri Rais. Wanajua.

Mimi na wewe tunajua kuwa Kuna migongano isiyo na Afya baina ya Serikali na baadhi ya Taasisi za kidini. Inajulikana!


Gwajima anaposema mambo haya na mengine yasiporekebishwa wahanga wanaweza wasipigie kura CCM huo ni udini?

Gwajima anaposema hapa nchini watu wanapotezwa, wanatekwa na hata kuuawa na kakikundi ka wahuni ambao si vyombo vya dola, na kwamba haya mambo yasipokoma, huenda wahanga wasipigie kura CCM ni kosa?

Wewe chambua, jibu utakavyoweza lakini hoja za akina Gwajima na wengine zinatakiwa kujibiwa kwa vitendo kwa hayo yanayolalamikiwa kukoma na si kujitokeza kujibu kwa niaba ya Serikali.

Malalamiko yaliyoko kwenye jamii hayatamalizwa na haya majibu ya kiitikadi zaidi kuliko uhalisia.

Mnaojitokeza humu ku counter hoja zinazotolewa na wananchi dhidi ya Rais, CCM na Serikali hamsaidii lolote zaidi ya kuzidi kuwasha moto juu ya moto. Cha msingi, yanayolalamikiwa yafanyiwe kazi tu basi, mambo yaende. Utekaji ukome, watu waruhusiwe kutoa maoni yao ilimradi wasivunje Sheria.

Rais mstaafu Jakaya Kikwete alijua sana kucheza vizuri karata zake japo analalamikiwa kwa mengi lakini alikuwa anajua sana kuuma, na.kupulizq sana. Rais Samia Suluhu Hassani anakwama wapi? Asiwasikilize machawa wa aina ya Lucas Mwashambwa. Hawampendi na wanampotosha.
 
Wewe katibu wake?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…