Mara ya kwanza kabisa kufika mikoa ya Pwani, kuna baadhi ya mambo yalinishangaza
Nalijifunza kwamba, Mungu alituumba kwa namna ya kutofautiana sana, kutoka watu hadi wanyama na hata ndege!
Watu wa Bara ni majitu makubwa makubwa na majasiri yasiyotishwa tishwa kirahisi eti yaogope kirahisi rahisi, ni majitu yanayoamini kula kwa jasho ndio mpango kamili wa Mungu na kiasili
Watu wa Pwani,
Kwanza, Jamii ya watu wa pwani, ni watu wadogo wadogo na wafupi, hii inaenda mpaka mifugo ya pwani, mfano, kuku aina ya jogoo wa Bara, mtu mmoja huwezi ukamla akakwisha, lakini kajogoo ka kuku wa pwani, utakala pamoja na robo ugali na bado hushibi, huyo ndiye Mungu na maajabu yake
Malezi ya watoto ya watu wa Bara, wanaamini kwamba, mtoto kuwa mjinga na asiye na maadili, ni matokeo ya wazazi wake! Na ndiyo maana wengi wa jamii ya Bara bado inayo maadili licha kwamba dunia imekumbwa na anguko kubwa la mmomonyoko wa maadili, mtu wa Bara mekuwa akibadirika na kuwa na tabia za ajabu pindi anapomezwa na tabia za watu wa Pwani!
Jamii ya watu wa pwani, wanaamini kuwa, mtoto kuwa mjinga na mwenye maadili ya hovyo, eti ni mtoto mwenyewe, na ndiyo maana jamii kubwa ya pwani haijishughurishi kabisa na malezi kwa watoto, watoto wa mzazi wa pwani, hata angerudi saa 4 usiku nyumbani, hawezi ulizwa alikuwa wapi na hata kuonywa licha kwamba ni under 18!
Jambo moja ambalo ni sifa kubwa ya watu wa Pwani, ni wajanja wajanja sana na wenye kuzizuia hasira zao, wanaishi maisha ya kiujanja ujanja na ambayo sio halali yao, maisha ya kiupigaji pigaji kwa kiswahili chao wànaita, mishentouwn!
Kwa namna hiyo, Mikoa ya pwani inakuwa kinara ya kuzalisha watoto ambao hata wakija
Kuwa viongozi, watakuwa viongozi legelege wasio na uchungu na maisha ya wengine kama ambavyo makuzi yao yalivyo!
Leo nimekuja na mada hii kuuliza, ikiwa mtu utanitajia viongozi walau wawili ambao historia inawabeba kwamba, wamekuwa viongozi mashuhuli na wenye ujasiri wenye kuchukua hatua pindi nchi au Taasisi inapopata hasara na ama tu kampuni!
Kama hautataja watu wa Bara huko warabu na hata wahindi?