johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kulikuwa na Watu 20 na Mkinga mmoja 😃😃Mimi Mkinga wa Makete yaani ni wa bara kweli kweli ila wewe ni mshamba kutoka Sukuma Gang
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kulikuwa na Watu 20 na Mkinga mmoja 😃😃Mimi Mkinga wa Makete yaani ni wa bara kweli kweli ila wewe ni mshamba kutoka Sukuma Gang
Kwani ujumbe ni wa nani huu [emoji848]
Kulikuwa na Watu 20 na Mkinga mmoja [emoji2][emoji2]
😀😀😀 Unautani na mkude weweeeJamii ya watu wa pwani, ni watu wadogo wadogo na wafupi, hii inaenda mpaka mifugo ya pwani, mfano, kuku aina ya jogoo wa Bara, mtu mmoja huwezi ukamla akakwisha, lakini kajogoo ka kuku wa pwani, utakala pamoja na robo ugali na bado hushibi
Maendeleo ya Mwakipande, mnajitahidi!Kwasababu tuna upekee kwenye maendeleo.
Bila shaka huyo ni msukuma wengi wao wana shida ya matumizi ya 'r' na 'l'Bala ndiyo wapi?!
Fisadi wa mafisadi dunianiSijajua unalenga Nini? Ushupavu gani? Unamjua mzee Kikwete wewe? Unajua mchango wake kwa taifa hili Hadi hapa tulipo leo? Unajua amekunasua kutoka makucha ya umaskini, maradhi, ujinga na "kuonewa?"
Unamjua mzee Kighoma Malima? Umewahi sikia mchango wake kwenye elimu? Unajua makazi ya mzee Ruksa?
Unawajua watu Hawa?
Shehe Ramia, Tambaza, shehe Takadiri, Mshume kiate? Bibi Titi Mohamedi nk.
Wewe umekuja juzi mjini, au hujui historia au umemaliza kidato Cha nne juzi.
Yule ni mpwani halisiYule askari wa zanzibar ivi siyo kiongoz?
🤣🤣🤣🙆
Kuna kibakuri wa MbeyaYule askari wa zanzibar ivi siyo kiongoz?
🤣🤣🤣Kuna kibakuri wa Mbeya