Nitajie viongozi wawili tu shupavu kutoka Pwani nami nikutajie viongozi 10 shupavu na wenye uwezo mkubwa kutoka mikoa ya bala

Watu wa pwani tunatumia akili hatutumii nguvu.
,

Marais wa Tanzania wanne kati ya sita ni watu wa pwani.

Hapo utaipata picha.
 
Ongezea Benjamin Mkapa, Jakaya Kikwete
Acha hiyo miamba ya zamani. Mbona kuna wengi tu wa hivi karibuni. Mimi ni mtu wa Bara hasaa lakini nawafahamu watu wengi ahupavu wa Pwani. Uliwahi kukutana na Mzee Mtandika wakati wa uhai wake akiwa Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Pwani? Au Paul Sozigwa tulipokuwa tunazozana na Kenya wakati huo? Au Colonel Kimbau wa Mafia akiwa Jeshni na baadaye Bungeni? Au Mzee Madenge aliyekuwa Mkuu wa wilaya wa Bagamoyo akitetea hoja zake? Piganieni hoja na siyo kukimbilia vitambulisho "labels" za ukanda!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…