Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Safari iliyojaa kila aina ya vizuizi, safari yenye njia zenye mabonde, milima na miteremko mikali. Safari yenye vikwazo ili kuyasaka maisha mapya niliyoahidiwa. Hakika nitawakumbuka sana.
Nimekuwa nanyi kwa kipindi kifupi hiki kama the storyteller wenu, niliyewafurahisha, kuwafunza na kuwatahadharisha juu ya mambo tofauti tofauti ya kidunia.
Sipaswi kusema "Nimeumaliza mwendo", ila sina budi kusema "Huu ndiyo mwanzo wa mahangaiko na safari ngumu ili kuyafikia maisha ya ahadi niliyoahidiwa".
Nitawakumbuka sana, kama Mola akijalia tutaonana tena. Ila sidhani kama itakuwa leo au kesho, ni safari ya miezi kadhaa.
Mniombee niumalize mwendo salama, sina budi ndugu zangu.😭😭
8th December 2022.