Nitawakumbuka sana wana-JF. Mniombee katika safari yangu ya maisha mapya

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,156
Reaction score
10,974
Safari iliyojaa kila aina ya vizuizi, safari yenye njia zenye mabonde, milima na miteremko mikali. Safari yenye vikwazo ili kuyasaka maisha mapya niliyoahidiwa. Hakika nitawakumbuka sana.

Nimekuwa nanyi kwa kipindi kifupi hiki kama the storyteller wenu, niliyewafurahisha, kuwafunza na kuwatahadharisha juu ya mambo tofauti tofauti ya kidunia.

Sipaswi kusema "Nimeumaliza mwendo", ila sina budi kusema "Huu ndiyo mwanzo wa mahangaiko na safari ngumu ili kuyafikia maisha ya ahadi niliyoahidiwa".

Nitawakumbuka sana, kama Mola akijalia tutaonana tena. Ila sidhani kama itakuwa leo au kesho, ni safari ya miezi kadhaa.

Mniombee niumalize mwendo salama, sina budi ndugu zangu.😭😭

8th December 2022.
 
hata jf ina kaAddiction flani yaani lazima ukuje tu[emoji4]
 
Ukafanikiwe kwa lolote unaloenda kulifanya.

Nilitamani nikuone kwenye mavazi yako ya heshima " suruali nyeusi modo, shati la kitenge lenye maua ya njano, kiatu cha blue kilichochongoka mbele, tai ya kijani mpauko, soksi nyeupe ndefu". Ukirudi nitumie japo picha.
 
I miss you sweetheart and I love you...

Samahani kama nimeandika kiingereza kibovu.
 
Safari iliyojaa kila aina ya vizuizi, safari yenye njia zenye mabonde, milima na miteremko mikali. Safari yenye vikwazo ili kuyasaka maisha mapya niliyoahidiwa. Hakika nitawakumbuka sana.

Nimekuwa nanyi kwa kipindi kifupi hiki kama the storyteller wenu, niliyewafurahisha, kuwafunza na kuwatahadharisha juu ya mambo tofauti tofauti ya kidunia.

Sipaswi kusema "Nimeumaliza mwendo", ila sina budi kusema "Huu ndiyo mwanzo wa mahangaiko na safari ngumu ili kuyafikia maisha ya ahadi niliyoahidiwa".

Nitawakumbuka sana, kama Mola akijalia tutaonana tena. Ila sidhani kama itakuwa leo au kesho, ni safari ya miezi kadhaa.

Mniombee niumalize mwendo salama, sina budi ndugu zangu.[emoji24][emoji24]

8th December 2022.
Umepata VISA?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Oya mbona umeondoka bila kuniachia namba yako ya simu si uliniarika kwenye christmas ndugu ? [emoji16][emoji16]Fanya uje pm chapu nijue siku hiyo nakupataje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom