Nitawashangaa watoto wa Lemutuz wakigandana huko Marekani na kutelekeza mirathi ya baba yao

Itakuwa mke wake alikuwa anampeleka race sana, mi naamini jamaa hakuwa na shida
 
Wale wanasubiria mirathi ya Babu yao ambayo hawataipata sababu daraja lao limekatika(le mutuz). Na ile familia ina mgogoro mkali watoto wa mke wa kwanza vs mke wa pili vs watoto wa nje ya ndoa
Basi watakuwa ni wajinga, bora wangekuja kung'ang'ana na hichi kidogo cha baba yao.. hiyo ya babu yao naona itakuwa utata kuipata, halafu kwa sababu ni watoto wa kile sidhani kama mirathi ya babu wataambulia
 
Ndo madhara ya watoto kupokea ushauri kwa Mange Kimambi. Mtu mwenye akili huwez mchukia mzazi wako
 
Ndo mana nikasema social media, biashara kubwa inafanyika kwenye simu. Usidharau hustle mkuu
 
Mirathi ya toyota noah ya mwaka 96 na apartment za NHC ambazo alikuwa analipia kodi kila mwisho wa mwezi? You have got to be serious.
Usidharau hustle... halafu wewe umeniambia sina akili nikakuambia usibitishe naona umeuchuna...

Acha kuongea kama Kasuku.... Hizo Toyota Noah wewe unazo ngapi?
 
Usidharau hustle... halafu wewe umeniambia sina akili nikakuambia usibitishe naona umeuchuna...

Acha kuongea kama Kasuku.... Hizo Toyota Noah wewe unazo ngapi?
kumbe imekuwa hobby ya kufuatilia kila comment yangu?

Haya nimekujibu, hifadhi na hii pia.
 
Usidharau hustle... halafu wewe umeniambia sina akili nikakuambia usibitishe naona umeuchuna...

Acha kuongea kama Kasuku.... Hizo Toyota Noah wewe unazo ngapi?
Malecela hakuwa na utajiri wa kugombaniwa hata na watoto tu wa uswahilini hapa Tz. Alikuwa wa kawaida tu na mishe mishe za town.
 
Jamaa alikuwa mpambanaji. Fikiria mtoto wa waziri mkuu mstaafu then awe dereva wa taka, tena sio taka tu ni harzadaus waste ambazo zinahitaji special care.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…