Nitawashangaa watoto wa Lemutuz wakigandana huko Marekani na kutelekeza mirathi ya baba yao

Hata kama baba ana makosa, mwisho wa siku bana, mzazi ni mzazi.
Umeelewa point yangu? Alitegemea watoto wasimlalamikie hata kidogo? Mnajua ni mangapi magumu wale watoto wameyapitia kwa sababu tu baba yao hakuwepo? Do you know what a father's presence; just presence means to his kids? Unajua watoto waliotelekezwa wanapitia trauma kiasi gani? Kuwa mzazi hakukufanyi uwe huru kufanya unavyojisikia. Mke wake amemsababishia mambo mengi sana; but still he should have fixed things with his kids; haswa yule binti. It was just a matter of time yule binti angekuwa sawa na baba yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule binti mnamuonea bure tu inavyoonesha alikuwa teyari kuyamaliza na mshua wake Le Mutuz ndiye aliyezingua lkn yule dogo wa kiume ni fala wa kiwango cha juu sana huwezi kumjibu dingi yako vile.
Alimjibuje? Sijawahi kuona hii habari
 
Naongezea, msisahau behaviour za Marehemu katika Social Media haziwezi kumfanya mtoto aheshimu Baba yake. Mtoto anatamani kila siku baba awe na mama tu. Siyo leo unapigwa kisi na Wema etc. Kusema za ukweli hata kijana pamoja na kughafilika kwa kutoa lugha isiyostahili kwa baba yake, nadhani Lemutuz alikuwa anawachefua ile life style yake hata ungalikuwa wewe.

Jiulize kwanini tunapinga ushoga, kwani wakiingizwa D2 zao hao mashoga sisi inakuwa D2 zetu zimeingiliwa! Hapana ni kuwa hicho kitendo kinachefua na kuona kama vijana wetu wanaweza kuiga na kuwa nao wanapakuliwa D2 zao, ndo maana tunatamani wauawe. Hivyo huwezi kuhangaika na huyo kijana bila kuona aliyokuwa anayafanya Marehemu nayo yalikuwa ni shida kwa kijana.
 
Kwahyo spika na rangi za ukuta ndio Ina determine uchumi wa mtu

Huyo jamaa hana kitu, historia yake aliisema mwenyewe, jamaa mpambanaji ila hela hakuwa nayo sababu ya changamoto, sasa sijui wewe unayesema ana hela unatoa wapi hizo taarifa.
 
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, we jiandae tu kushangaaa kama baba alikuwa mzima na walikuwa huko walipo kwmb amekufa ndo watarudi??????
 
Hawawezi kuiendesha itakufa na itawastress. Lemutuz alikuwa brand yeye mwenyewe na alikuwa trusted yeye binafsi and not otherwise. Ingekuwa registered company ingeweza kuwa easy kwao ku run the business. Hawataweza kutembea kwenye viatu vya baba yao.
 
Ha ha ha! We jamaa chenga sana!
 

Wanaume wengi wa kiafrika hawajui kuomba msamaha wanapokosea, wale wachache wanaoombaga msamaha na kukubali makosa pepo inawasubiria

Mungu wetu nae kwa kujua tutaleta mashindano kwa watoto kupuuza nafasi aliyompa mzazi kuzaa na kulea akaamua awe dikteta kwa kutoa amri ya kumheshimu mzazi bila kuwa na conditions.

“Waheshimu baba yako na mama yako, ili uishi maisha marefu katika nchi ninayokupa mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako."

Pole sana kwao
 
Hivi unadhani kizazi cha sasa, tena kimekulia Marekani maisha yote, mama yao mmarekani, watakuwa na muda kumuwaza baba yao? Mimi sidhani...
Mambo yote yatapita lakini neno litasimama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…