Nitumie mbinu gani kumfikishia ujumbe girlfriend wangu kuwa hajui kupika pasipo kumuudhi?

Nitumie mbinu gani kumfikishia ujumbe girlfriend wangu kuwa hajui kupika pasipo kumuudhi?

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
12,073
Reaction score
16,638
Hello JF.

Ebana nina mtihani hapa ndugu zangu kuna huyu bibie niko naye, kiukweli huyu mrembo hajui kupika kabisa, yawezekana hata mimi namshinda, akikupikia wali utadhani ugali na msosi unakuwa hauna ladha kabisa. Cha kusikitisha yeye hajui kuwa msosi anaopika hauna ladha.

So nimepanga kumfikishia ujumbe kuwa hajui kupika ila sitaki kumuudhi.

Naombeni mbinu wakuu.
 
Mimi nilikuwaa na gf wangu, alikuwa hajui kupika nilivumilia siku moja nikamwambia hebu leo kaa kwanza nikupikie chakula na mimi, kwa kupika wali ni mimi ni fundi yani ni fundi haswa, nikampikia wali wangu mmoja matata unachanganywa na beef masala, alipokula alijua kuwa hajui kupika na akaomba nimwelekeze... nikamwelekeza kuanzia siku hiyo akajua jinsi ya kupika wali siyo uji.
 
Kuna story jamaa alikuwa katika wakati mgumu kama wako, akashauriwa aandike tangazo linalosema, UKIFANYA KITU KIFANYE KWA UBORA NA USAHIHI, then akalibandike jikoni.

Mke wake alipo liona alilielewa, naye ilipofika muda wa kulala alichukua tangazo hilo hilo akalipeleka kitandani.
 
Pole kwakweli.
Ukweli huwa unauma.
Sijui utamwambiaje ili asiumie.
Itabidi akiingia jikoni sometimes uwe unampa support halafu unamwangalia anapikaje pale anapokosea unamwelekeza halafu unamwambia ndio mana chakula chake kinakosa ladha kutokana na njia anazotumia.
Taratibu taratibu ataanza kujifunza.
 
Mimi nilikuwaa na gf wangu, alikuwa hajui kupika nilivumilia siku moja nikamwambia hebu leo kaa kwanza nikupikie chakula na mimi, kwa kupika wali ni mimi ni fundi yani ni fundi haswa, nikampikia wali wangu mmoja matata unachanganywa na beef masala, alipokula alijua kuwa hajui kupika na akaomba nimwelekeze... nikamwelekeza kuanzia siku hiyo akajua jinsi ya kupika wali siyo uji.
Nakuja PM kuchukua recipe za wali wa beef masala. Lol
 
Jaribu kupika naye.

Jukwaa la chef kuna thread mbalimbali za kupika... changua thread ya chakula unachotaka kukipika, hata kama ni wali, kaa naye mpike kwa kufuatilia kila step kwa ufasaha.

Fanya hivyo kwa vyakula mbalimbali...!!!

Nadhani kupitia hapo atajua ni wapi huwa anakosea na atajitahidi kurekebisha!!
 
Mkuu hilo ni janga la kitaifa kwa sasa,,
Wasichana wengi especially wake wavaa visendlo vya manyoya na skin jeans ,,hawajuwi kupika hata chai ya rangi,,yaani upishi umekuwa ni mtihani,,
Sasa mwambiye huyo msichana wako,,,kuna mapishi unayapenda kwahyo unataka ajifunze,,ili awe anakupikia,,,
Mweleze kwamba kuna mtu atakuja akufundishe ili akupikie,,
Hapo tafuta mdada mpishi nzr aanze na kumfundisha..
1..kupika chai,
2.samaki/nyama Kuku chuku chuku mixa embe mbichi au mbilimbi.
3.kuunga na kupika vyakula vya Nazi,
4..,wali
5.chapati,
6..mapochopocho
7..kutengeneza juice za aina mbali mbali..
Hapo itakuwa umeshinda,,
 
Back
Top Bottom