No ilikua Rhaji mmiliki mshenzi sana zamani hiyo 2000.Hahaha nimepita pale mwaka fulani wakati nasubiri majibu ya form four ndiyo kipindi hicho nilikua gardener na Ali Bang'ala.
Nikaondoka. Nilivyomaliza chuo nikasikia wananitafuta nikawe Store Keeper nimefanya kazi siku tano tu, wakaniambia hawawezi kunilipa nikaachishwa.
Wewe ulikua na huyu mmiliki mpya?
[emoji1318]hello jf.
Ebaha nina mtihani hapa ndugu zangu.kuna huyu bibie niko nae, kiukweli huyu mrembo hajui kupika kabisa, yawezekana hata mimi namshinda. akikupikia wali utadhani ugali na msosi unakuwa hauna ladha kabisa. cha kusikitisha yeye hajui kuwa msosi anaopika hauna ladha.
so nimepanga kumfikishia ujumbe kuwa hajui kupika ila sitaki kumuudhi.
naombeni mbinu wakuu...
Kuna story jamaa alikuwa katika wakati mgumu kama wako, akashauriwa aandike tangazo linalosema, UKIFANYA KITU KIFANYE KWA UBORA NA USAHIHI, then akalibandike jikoni.
Mke wake alipo liona alilielewa, naye ilipofika muda wa kulala alichukua tangazo hilo hilo akalipeleka kitandani.
Ana kichwa chepesi sana, yaani siku moja tu akajua kila kituMimi nilikuwaa na gf wangu, alikuwa hajui kupika nilivumilia siku moja nikamwambia hebu leo kaa kwanza nikupikie chakula na mimi, kwa kupika wali ni mimi ni fundi yani ni fundi haswa, nikampikia wali wangu mmoja matata unachanganywa na beef masala, alipokula alijua kuwa hajui kupika na akaomba nimwelekeze... nikamwelekeza kuanzia siku hiyo akajua jinsi ya kupika wali siyo uji.
Huwajui wanawake kwa kususa, unaweza ukamuelekeza, yeye akaanza kununiaPole kwakweli.
Ukweli huwa unauma.
Sijui utamwambiaje ili asiumie.
Itabidi akiingia jikoni sometimes uwe unampa support halafu unamwangalia anapikaje pale anapokosea unamwelekeza halafu unamwambia ndio mana chakula chake kinakosa ladha kutokana na njia anazotumia.
Taratibu taratibu ataanza kujifunza.
hello jf.
Ebaha nina mtihani hapa ndugu zangu.kuna huyu bibie niko nae, kiukweli huyu mrembo hajui kupika kabisa, yawezekana hata mimi namshinda. akikupikia wali utadhani ugali na msosi unakuwa hauna ladha kabisa. cha kusikitisha yeye hajui kuwa msosi anaopika hauna ladha.
so nimepanga kumfikishia ujumbe kuwa hajui kupika ila sitaki kumuudhi.
naombeni mbinu wakuu...
Kumfundisha mtu kupiga wali kama watumia gas au induction cooktop ni rahisi sana, maa ni kubalance mfuta na maji, watu wengi uwa wanadhani wali unaivishwa na mafta usipoiva wanatia maji, kumbe hata wali unaivishwa na mvuke. Mimi sipendi wali uliopikwa kwenye rice cooker unless uanzie kwenye jiko then uivie kwenye rice cooker.Ana kichwa chepesi sana, yaani siku moja tu akajua kila kitu
Hahaha dah yule mama ndiyo mama yangu sasa. Alishaacha.No ilikua Rhaji mmiliki mshenzi sana zamani hiyo 2000.
Yule mama bado analeta wali maharage staff food?na wale wahindi bado wanakaa kule nyuma wakimaliza kupika
Jamaa walikua na njaa sana mmiliki makombo yoote anakusanya badae anakula na familia
Simpo sana siku moja moja pika wewe ataziona tofauti. Asipoona tofauti afu kama unapenda dikoo la maana kama mimi piga chini usichelewe.hello jf.
Ebaha nina mtihani hapa ndugu zangu.kuna huyu bibie niko nae, kiukweli huyu mrembo hajui kupika kabisa, yawezekana hata mimi namshinda. akikupikia wali utadhani ugali na msosi unakuwa hauna ladha kabisa. cha kusikitisha yeye hajui kuwa msosi anaopika hauna ladha.
so nimepanga kumfikishia ujumbe kuwa hajui kupika ila sitaki kumuudhi.
naombeni mbinu wakuu...
Mkuu punguza kusema ukweli, nilipita kwa wazinza, wahaya na makabila kama hayo aiseeee. Kama unatafuta mke kwa kigezo kwamba anajua kupika usiende izo pande labda kama alipata malezi ya mjini akajifunza tamaduni za hukooo.Ila dada zenu wengi kanda ziwa kupika ni shida
Hivi mapishi ya Kitanzania kuna watu waneandika vitabu vya mapishi kufundisha kupika vyakula mbalimbali?hello jf.
Ebaha nina mtihani hapa ndugu zangu.kuna huyu bibie niko nae, kiukweli huyu mrembo hajui kupika kabisa, yawezekana hata mimi namshinda. akikupikia wali utadhani ugali na msosi unakuwa hauna ladha kabisa. cha kusikitisha yeye hajui kuwa msosi anaopika hauna ladha.
so nimepanga kumfikishia ujumbe kuwa hajui kupika ila sitaki kumuudhi.
naombeni mbinu wakuu...
Nshakuwaga na mtu wa hivo nilipika mwezi mzima saiz na yeye yuko vizuri ,jifanye unamsaidia mara nyingi, simpohello jf.
Ebaha nina mtihani hapa ndugu zangu.kuna huyu bibie niko nae, kiukweli huyu mrembo hajui kupika kabisa, yawezekana hata mimi namshinda. akikupikia wali utadhani ugali na msosi unakuwa hauna ladha kabisa. cha kusikitisha yeye hajui kuwa msosi anaopika hauna ladha.
so nimepanga kumfikishia ujumbe kuwa hajui kupika ila sitaki kumuudhi.
naombeni mbinu wakuu...
Nipe contacts zake nikusaidiehello jf.
Ebaha nina mtihani hapa ndugu zangu.kuna huyu bibie niko nae, kiukweli huyu mrembo hajui kupika kabisa, yawezekana hata mimi namshinda. akikupikia wali utadhani ugali na msosi unakuwa hauna ladha kabisa. cha kusikitisha yeye hajui kuwa msosi anaopika hauna ladha.
so nimepanga kumfikishia ujumbe kuwa hajui kupika ila sitaki kumuudhi.
naombeni mbinu wakuu...
Waryaa karibu JFMkuu hayo yote majibu ila anza kumpikia siku moja au mshirikiane ktk mapishi ya siku husika na pia siku nyingine mtoe out na mkale chakula ambacho unajua unaweza kupika nyumbani labda pilau au wali wa nazi alaf siku unampa mtihani unwambia umetamani kula msosi kamanule wa hotel muombe akupikie lkn usisahau kumwambia kwamba yu mpishi mzur kama alivyo mrembo' bahati yao ni kwamba unaweza kua mkweli kwa kumwambia ila yeye akatafsiri kuna mwanamke mwingine anakupa hicho chakula kitamu na kizur ikaleta shida kwako. Uwe makini pia ktk uchaguzi wa maneno na eneo lakukwambia.