Nitumie mbinu gani kumfikishia ujumbe girlfriend wangu kuwa hajui kupika pasipo kumuudhi?

Nitumie mbinu gani kumfikishia ujumbe girlfriend wangu kuwa hajui kupika pasipo kumuudhi?

Pole kwakweli.
Ukweli huwa unauma.
Sijui utamwambiaje ili asiumie.
Itabidi akiingia jikoni sometimes uwe unampa support halafu unamwangalia anapikaje pale anapokosea unamwelekeza halafu unamwambia ndio mana chakula chake kinakosa ladha kutokana na njia anazotumia.
Taratibu taratibu ataanza kujifunza.
well noted madam
 
sawa mkuu..ntalifanya hilo next weekend
nyongeza; Je huyo ni mkeo au Unataraji awe mkeo?
Siku hizi kuna Vyuo vya mapishi hata kozi ya wiki mbili na tena anaweza kwenda na menu anazohitaji kuzijua vizuri;
mgharamikie kidogo tumambo yatakuwa sawia; kwani unaweza kusifia chakula nayeye akafahamu concern yako ila mtihani ukawa kuwa hajui kupika kama unavyo taka. Kupika ni art na sio kazi rahisi kama tunavyofikiri.....
 
Asilimia kubwa ya wanawake hawajui kupika, japo wenyewe hawajui kama hawajui.Njia sahihi ni kupika naye mara kadhaa hadi aelewe
 
Mkuu hayo yote majibu ila anza kumpikia siku moja au mshirikiane ktk mapishi ya siku husika na pia siku nyingine mtoe out na mkale chakula ambacho unajua unaweza kupika nyumbani labda pilau au wali wa nazi alaf siku unampa mtihani unwambia umetamani kula msosi kamanule wa hotel muombe akupikie lkn usisahau kumwambia kwamba yu mpishi mzur kama alivyo mrembo' bahati yao ni kwamba unaweza kua mkweli kwa kumwambia ila yeye akatafsiri kuna mwanamke mwingine anakupa hicho chakula kitamu na kizur ikaleta shida kwako. Uwe makini pia ktk uchaguzi wa maneno na eneo lakukwambia.
 
hello jf.
Ebaha nina mtihani hapa ndugu zangu.kuna huyu bibie niko nae, kiukweli huyu mrembo hajui kupika kabisa, yawezekana hata mimi namshinda. akikupikia wali utadhani ugali na msosi unakuwa hauna ladha kabisa. cha kusikitisha yeye hajui kuwa msosi anaopika hauna ladha.
so nimepanga kumfikishia ujumbe kuwa hajui kupika ila sitaki kumuudhi.
naombeni mbinu wakuu...
Mwambie akusaidia kupika lkn nae awepo kwa iyo yeye anaweka vitunguu ww unasaga nyanya ,yeye anaosha mchele wewe unaweka mafuta yaani mfundishe lkn tumia kama upendo yaani umeamua kumsaidia kupika kwa kuwa upo home, hata kama haupo na muda WA kurudi mzuli mwambie usipike nije kukusaidia natamani tupike wote jikoniiii ,na cku nyingine wakati wali unaendelea kuiva unamla na yeye huko huko jikoni

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Wakati nafanya kazi ya ugardener Khana kHazana kuna chef aligewa mke na familia yake. Ila jamaa akawa anakula pale pale hotelini nyumbani kwake akienda anakunywa uji wa cerelac analala chakula cha mkewe hali.

Ile hali ikaenda mke akamuuliza jamaa siku hiyo mbona hauli hapa nyumbani jamaa akajibu kwakua haujui kupika.

Wiki tu na ndoa yenyewe ikafa kwa jibu alilotoa.

Ushauri kwa wengine: Mtest mtu wako kwa kumpa tambi apike, mtu anayejua kupika tambi hivi vyakula vingine haviwezi kumsumbua. Nishukuru baadaye.
 
  • Swala la msosi muhimu Sanna watu hawaelewi,mi ukipika madabwasha yako sili hata nishkiwe mkuki na Makamba Kabusa chakula kibayaa.kisa nini kujaza tumbo kwa vitu haviereweki
 
Mkuu hayo yote majibu ila anza kumpikia siku moja au mshirikiane ktk mapishi ya siku husika na pia siku nyingine mtoe out na mkale chakula ambacho unajua unaweza kupika nyumbani labda pilau au wali wa nazi alaf siku unampa mtihani unwambia umetamani kula msosi kamanule wa hotel muombe akupikie lkn usisahau kumwambia kwamba yu mpishi mzur kama alivyo mrembo' bahati yao ni kwamba unaweza kua mkweli kwa kumwambia ila yeye akatafsiri kuna mwanamke mwingine anakupa hicho chakula kitamu na kizur ikaleta shida kwako. Uwe makini pia ktk uchaguzi wa maneno na eneo lakukwambia.
well noted mkuu
 
Mkuu hilo ni janga la kitaifa kwa sasa,,
Wasichana wengi especially wake wavaa visendlo vya manyoya na skin jeans ,,hawajuwi kupika hata chai ya rangi,,yaani upishi umekuwa ni mtihani,,
Sasa mwambiye huyo msichana wako,,,kuna mapishi unayapenda kwahyo unataka ajifunze,,ili awe anakupikia,,,
Mweleze kwamba kuna mtu atakuja akufundishe ili akupikie,,
Hapo tafuta mdada mpishi nzr aanze na kumfundisha..
1..kupika chai,
2.samaki/nyama Kuku chuku chuku mixa embe mbichi au mbilimbi.
3.kuunga na kupika vyakula vya Nazi,
4..,wali
5.chapati,
6..mapochopocho
7..kutengeneza juice za aina mbali mbali..
Hapo itakuwa umeshinda,,
Kutafuta mtu wa kumfundisha ataona kama anadhalilishwa.
Aingie tu Youtube kuna kila aina ya mapishi ashindwe tu mwenyewe.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Wesha changia wengi saba sikuweza kuwasoma wote ila nakushauri hivi; Wahenga walisema kuwa, ukiona mwanamke hajui kupika ujue huyo ndio mwenye utamu kuliko wote kitandani. Mtu hawezi kujaliwa vyote; Yaani ajue kuupika ugali na pia ajue kukisonga kiuno?? Hivi sio sawa. Anacho kimojapo kitamu zaidi ndo maana unaogopa kumkasirisha
 
Mwelekeze tu taratibu atajua...,Kama vingine anajua siyo mbaya hata kupika atajua...
Sometimes unaweza kuoa demu kisu afu hawezi kukata kiuno Wala nyanya😂😂😂😂natania...
 
Wesha changia wengi saba sikuweza kuwasoma wote ila nakushauri hivi; Wahenga walisema kuwa, ukiona mwanamke hajui kupika ujue huyo ndio mwenye utamu kuliko wote kitandani. Mtu hawezi kujaliwa vyote; Yaani ajue kuupika ugali na pia ajue kukisonga kiuno?? Hivi sio sawa. Anacho kimojapo kitamu zaidi ndo maana unaogopa kumkasirisha
sawa mkuu
 
Siku mmoja kila mtu apike chakula ..muanze kula chake halafu mmalizie chako ataelewa tu kw somo lake kapata F na lazima tu aombe tuition apo apo
 
Back
Top Bottom