Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,085
Wakati mnakula hapo kwenye meza, jifanye kutapika.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]both teams to score au ngoma droooKuna story jamaa alikuwa katika wakati mgumu kama wako, akashauriwa aandike tangazo linalosema, UKIFANYA KITU KIFANYE KWA UBORA NA USAHIHI, then akalibandike jikoni.
Mke wake alipo liona alilielewa, naye ilipofika muda wa kulala alichukua tangazo hilo hilo akalipeleka kitandani.
Hahahhaha. Dah!.. nimecheka pekeangu hapa. You made my night [emoji23]Mwambie "ilibaki kidogo sana hichi chakula kiwe kizuri zaidi"
We unajua kupika? Km ndio cku mwambie km unataka kumsaidia kupika hvy pika na yy akiwepoHello JF.
Ebana nina mtihani hapa ndugu zangu kuna huyu bibie niko naye, kiukweli huyu mrembo hajui kupika kabisa, yawezekana hata mimi namshinda, akikupikia wali utadhani ugali na msosi unakuwa hauna ladha kabisa. Cha kusikitisha yeye hajui kuwa msosi anaopika hauna ladha.
So nimepanga kumfikishia ujumbe kuwa hajui kupika ila sitaki kumuudhi.
Naombeni mbinu wakuu.
Unajua kupika? Km ndio cku muiingie wote jikon upike yy akuangalie ucmwambie km unamfundsha yy mwambie unamsaidia tHello JF.
Ebana nina mtihani hapa ndugu zangu kuna huyu bibie niko naye, kiukweli huyu mrembo hajui kupika kabisa, yawezekana hata mimi namshinda, akikupikia wali utadhani ugali na msosi unakuwa hauna ladha kabisa. Cha kusikitisha yeye hajui kuwa msosi anaopika hauna ladha.
So nimepanga kumfikishia ujumbe kuwa hajui kupika ila sitaki kumuudhi.
Naombeni mbinu wakuu.
Wanawake tulivyo uctake kumuharibia mwenzio ataambiwa huyo mpishi anatoks naeMkuu hilo ni janga la kitaifa kwa sasa,,
Wasichana wengi especially wake wavaa visendlo vya manyoya na skin jeans ,,hawajuwi kupika hata chai ya rangi,,yaani upishi umekuwa ni mtihani,,
Sasa mwambiye huyo msichana wako,,,kuna mapishi unayapenda kwahyo unataka ajifunze,,ili awe anakupikia,,,
Mweleze kwamba kuna mtu atakuja akufundishe ili akupikie,,
Hapo tafuta mdada mpishi nzr aanze na kumfundisha..
1..kupika chai,
2.samaki/nyama Kuku chuku chuku mixa embe mbichi au mbilimbi.
3.kuunga na kupika vyakula vya Nazi,
4..,wali
5.chapati,
6..mapochopocho
7..kutengeneza juice za aina mbali mbali..
Hapo itakuwa umeshinda,,
Unaishi na girlfriend?Hello JF.