Mkuu hilo ni janga la kitaifa kwa sasa,,
Wasichana wengi especially wake wavaa visendlo vya manyoya na skin jeans ,,hawajuwi kupika hata chai ya rangi,,yaani upishi umekuwa ni mtihani,,
Sasa mwambiye huyo msichana wako,,,kuna mapishi unayapenda kwahyo unataka ajifunze,,ili awe anakupikia,,,
Mweleze kwamba kuna mtu atakuja akufundishe ili akupikie,,
Hapo tafuta mdada mpishi nzr aanze na kumfundisha..
1..kupika chai,
2.samaki/nyama Kuku chuku chuku mixa embe mbichi au mbilimbi.
3.kuunga na kupika vyakula vya Nazi,
4..,wali
5.chapati,
6..mapochopocho
7..kutengeneza juice za aina mbali mbali..
Hapo itakuwa umeshinda,,