Nitumie mbinu gani kumfikishia ujumbe girlfriend wangu kuwa hajui kupika pasipo kumuudhi?

One day ingia jikoni mzee umuoneshe ujuzi wako! Hakika atajijua kuwa hajui na atabafilika!
 
Anajifanyisha ili uingie jikoni, ukirogwa tu utasifiwa sana na kupangiwa zamu.
 
No ilikua Rhaji mmiliki mshenzi sana zamani hiyo 2000.
Yule mama bado analeta wali maharage staff food?na wale wahindi bado wanakaa kule nyuma wakimaliza kupika
Jamaa walikua na njaa sana mmiliki makombo yoote anakusanya badae anakula na familia
 
[emoji1318]
"BAADA TU YA KUSHIKA DOLA MWAKA HUU MWEZI WA KUMI,
SERIKALI YETU PENDWA YA CHAUMMA ITAANZISHA KOZI YA "Bachelor of Science in Rice and Chicken Cooking" PALE UDSM,
ILI KUHAKIKISHA WATANZANIA WANAKULA WALI_KUKU ULIOPIKWA KWA VIWANGO STAHIKI".

CHAGUA CHAUMMA,
HILO TATIZO LIISHE.
 

 
Ana kichwa chepesi sana, yaani siku moja tu akajua kila kitu
 
Huwajui wanawake kwa kususa, unaweza ukamuelekeza, yeye akaanza kununia
 
Kwanini uogope kumwambia KE wako chakula anachopika si kizuri/kitamu? 😳
Akinuna atakuwa ana tatizo tena si dogo.

 
Ana kichwa chepesi sana, yaani siku moja tu akajua kila kitu
Kumfundisha mtu kupiga wali kama watumia gas au induction cooktop ni rahisi sana, maa ni kubalance mfuta na maji, watu wengi uwa wanadhani wali unaivishwa na mafta usipoiva wanatia maji, kumbe hata wali unaivishwa na mvuke. Mimi sipendi wali uliopikwa kwenye rice cooker unless uanzie kwenye jiko then uivie kwenye rice cooker.
 
No ilikua Rhaji mmiliki mshenzi sana zamani hiyo 2000.
Yule mama bado analeta wali maharage staff food?na wale wahindi bado wanakaa kule nyuma wakimaliza kupika
Jamaa walikua na njaa sana mmiliki makombo yoote anakusanya badae anakula na familia
Hahaha dah yule mama ndiyo mama yangu sasa. Alishaacha.
 
Simpo sana siku moja moja pika wewe ataziona tofauti. Asipoona tofauti afu kama unapenda dikoo la maana kama mimi piga chini usichelewe.
Mimi sijui nipoje girlfriend nikimpata mpya nampa tukazi simpo kama kufanya usafi bafuni akibugi kidogo analiwa afu nampotezea, kufua nguo akishindwa kwenda na kanuni za ufuaji ndo imetoka iyoo, kupika misosi ya kawaida swahili food mapema tuu butiiii bila yy kujua
 
Ila dada zenu wengi kanda ziwa kupika ni shida
Mkuu punguza kusema ukweli, nilipita kwa wazinza, wahaya na makabila kama hayo aiseeee. Kama unatafuta mke kwa kigezo kwamba anajua kupika usiende izo pande labda kama alipata malezi ya mjini akajifunza tamaduni za hukooo.
Yaan hayo maeneo niliotaja ni kumenya kuweja maji na chumvi basiii ndo wanachojua.
 
Hivi mapishi ya Kitanzania kuna watu waneandika vitabu vya mapishi kufundisha kupika vyakula mbalimbali?

Kuna kitabu cha recipes za mapishi ya Kitanzania?
 
Nshakuwaga na mtu wa hivo nilipika mwezi mzima saiz na yeye yuko vizuri ,jifanye unamsaidia mara nyingi, simpo
 
Call spade a spade ,mwambie ukweli halisi lakini sio kwa namna ya kumkwaza njia ya pili unaweza kumpekeka kwenye sehemu amabapo taste yako ya chakula ipo then unaagiza mkishamaliza kula unamawambia mke wangu, ningependa ladha ya chakula unachonipikia nyumban iwe Kama hii tuliyokula hapa .Kama ana ajili kichwani atajiongeza..

Btw Ndoa ni safari ndefu sana Kama Ina urefu wake , Jambo dogo Kama Hilo unajishauri kumwambia mwenza kwa kuhofia kumkwaza , vipi Jambo kubwa? Sahihisha Kila kitu usicho kipenda huku mwanzoni kabisa ili usije kupata sababu ya kuvunja ndoa huko mbele ya safari
 
Nipe contacts zake nikusaidie
 
Reactions: amu
Waryaa karibu JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…