Tuttyfruity
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 2,414
- 6,394
Mimi nilikuwaa na gf wangu, alikuwa hajui kupika nilivumilia siku moja nikamwambia hebu leo kaa kwanza nikupikie chakula na mimi, kwa kupika wali ni mimi ni fundi yani ni fundi haswa, nikampikia wali wangu mmoja matata unachanganywa na beef masala, alipokula alijua kuwa hajui kupika na akaomba nimwelekeze... nikamwelekeza kuanzia siku hiyo akajua jinsi ya kupika wali siyo uji.
Vipo vingi sana baba.Hivi mapishi ya Kitanzania kuna watu waneandika vitabu vya mapishi kufundisha kupika vyakula mbalimbali?
Kuna kitabu cha recipes za mapishi ya Kitanzania?
Asante sana. Nitatafuta.Vipo vingi sana baba.
Tulia utapata majibu sahihinshakutumia inbox mkuu
Mkuu, kama ulikuwepo unachosema. Nilibahatika kuishi kanda ya ziwa miaka mitatu. Chakula nilichokuwa napikiwa ndani ni staili hiyo. Ilifika kipindi nikaona chakula nachopika Mimi mwenyewe kitamu.......hayo maeneo niliotaja ni kumenya kuweja maji na chumvi basiii ndo wanachojua.
Hivi kwanini wanawake wana sifa ya kununa sana,Huwajui wanawake kwa kususa, unaweza ukamuelekeza, yeye akaanza kununia
Mkeo, mumeo, mchumba ni vyema ujue approach za kumfanya mwenza wako asijisikie vibaya wakati wa ku address issue inayokukera kuepuka makwazo yasio nalazima, ukimwambia kwa kumchana unafikiri ndiyo utakua umemsaidia au umemuongeza uoga zaidi,Unakuaje kwenye mahusiano na mtu unashindwa kumchana? We mwambie tu "baby hujui kupika, sasa tutafanya nini kuhusu hilo swala?". You should learn to solve your problems.
Wana ujinga wa asili wakiwa in loveHivi kwanini wanawake wana sifa ya kununa sana,
Hivi unajua mwanamke anaweza akanuna kitu kidogo hata mwezi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kwahiyo wakiwa in love ndiyo wanafanya hivyoWana ujinga wa asili wakiwa in love
Hello JF.
Ebana nina mtihani hapa ndugu zangu kuna huyu bibie niko naye, kiukweli huyu mrembo hajui kupika kabisa, yawezekana hata mimi namshinda, akikupikia wali utadhani ugali na msosi unakuwa hauna ladha kabisa. Cha kusikitisha yeye hajui kuwa msosi anaopika hauna ladha.
So nimepanga kumfikishia ujumbe kuwa hajui kupika ila sitaki kumuudhi.
Naombeni mbinu wakuu.