Nitumie mbinu gani kumfikishia ujumbe girlfriend wangu kuwa hajui kupika pasipo kumuudhi?

Hiyo mbona rahisi sana.... Kimbembe kumwambia mwenzi wako unanuka mdomo... Ni ngumu mno
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]both teams to score au ngoma drooo
 
We unajua kupika? Km ndio cku mwambie km unataka kumsaidia kupika hvy pika na yy akiwepo
 
Unajua kupika? Km ndio cku muiingie wote jikon upike yy akuangalie ucmwambie km unamfundsha yy mwambie unamsaidia t
 
Wanawake tulivyo uctake kumuharibia mwenzio ataambiwa huyo mpishi anatoks nae
 
Huwa nasikitika nikisikia mwanamke hajui kupika............. tena chakula cha kawaida kabisa wali sijui nazi sijui iliki sijui wali viungo na kadhalika.
Nachojua mimi kupika ni art na huwa bila hata kufundishwa unajifundisha mwenyewe vitu vingi sana.................. mfano mimi kupika chapati sijui kabisa na ni kwamba sitaki kujua kuzipika maana naona kama niprocess ndefu na inachukua muda mwingi sana ila haya mengine wali na mboga zoooote, ugali na mboga zooooooote ndizi aina zote achilia mbali mtori ni vyakula nikikupikia lazima utajilamba
 
ukweli sikuzote huumiza ila uongo ni ka dawa ya maumivu isiyo tibu ugonjwa, hakuna njia amabayo unaweza mwambia isimuumize we mtafutie video za mapishi na kumnunulia vitabu vya mapishi hiyo ndo njia nyepesi zaidi
 
Unaishi na girlfriend?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…