Ni automatic..na kitabu sina mkuu.
Kama ni gearbox ya mkono tumia 80w-90 ila gearbox automatic lazima usome kitabu cha gari; ATF hjazifanani hata kwa gari za aina moja..