Kama ni gearbox ya mkono tumia 80w-90 ila gearbox automatic lazima usome kitabu cha gari; ATF hjazifanani hata kwa gari za aina moja..
TOYOTA ATF TYPE-IV kaa humo
Jibu sahihi la Atf ya gari yako ni kuangalia dipstick au chukua chassis no ya gari na google utapata jibu sahihi na mara nyingi gari za automatic zinatumia giabox oil tofaut tofautThanks mkuu
Jibu sahihi la Atf ya gari yako ni kuangalia dipstick au chukua chassis no ya gari na google utapata jibu sahihi na mara nyingi gari za automatic zinatumia giabox oil tofaut tofaut
Kipindi kigumu sana mkuuSo far biashara unaiona inaendaje mkuu?
Kipindi kigumu sana mkuu
Karibu bossDaah pole sana mkuu,kuna inshu nitakuja kukufuata PM mkuu.
Waongo haoNimeona watu wanaji promote fb wanaweza kupata codes bila kutumia obd scanner hv inawezekana kweli?
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Kipimo rahisi ni kuwa silence iwe nzuri ya kati ya 500 rpm mpaka 1000rpm, na iwe inapokea accelerator vizuri sana kwa kugusa tu. Vingievyo utahitaji uiweke kwenye computer kupima perfomance metrics nyingine jambo ambalo ni la kitaalam zaidi.
Kuna mtaalam aliniambia inatakiwa ikiwaka iwe na mlio mkubwa kisha upungue, hili lina ukweli wowote?Kipimo rahisi ni kuwa silence iwe nzuri ya kati ya 500 rpm mpaka 1000rpm, na iwe inapokea accelerator vizuri sana kwa kugusa tu. Vingievyo utahitaji uiweke kwenye computer kupima perfomance metrics nyingine jambo ambalo ni la kitaalam zaidi.
Ni kweli lakini huo siyo ushauri wa kitaalamu.Kuna mtaalam aliniambia inatakiwa ikiwaka iwe na mlio mkubwa kisha upungue, hili lina ukweli wowote?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu kanitumia swali kule kwenye PM akitaka kujua kuwa kwa nini huo siyo ushauri wa kitaalamu. Sikumjibu kule nikasema nitatoa jibu la jumla hapa, na nitamtuma aje kulisoma hapa.Ni kweli lakini huo siyo ushauri wa kitaalamu.
Japo siye uliyeniuliza swaliHabari mkuu,
Nilifanya diagnosis kuhusu gari yangu kuwa speed ndogo na odometer kusoma speed kuwa let's say unaona kabisa upo 70km/hr ila odometer itasoma 95 - 100km/hr.
Mtu wa diagnosis akaniambia strainer na "Knock sensor bank 1" ndio zina shida, je nikibadilisha gari yangu itakuwa poa? Maana hata kubadili gear haipo Safi kuna muda inaishia gear namba 3, gari yangu ni Rav4 kilitime automatic transmission.