Oscar alikua ni mdau tu wakaribu wa band ya Jagwa na wasanii wake kwa ujumla (Masela Mchiriku),hivyo kifo chake kiliwahudhunisha sababu alikua ni mwana.Mkuu hebu naomba niambie Oscar Mkoba alikuwa nani? Nona Jagwa walimtungia wimbo kabisa nadhani uko katika Albamu ya Liwalo na Liwe.
Tembelea pande za CCM Mwinjuma Mwananyamala,kila weekend wanakinukisha.Tena sasa hivi wana safu mpya ya wasanii baada ya muimbaji wa kuitwa Machupa kujiunga Jagwa akitokea Wanyamwezi.Mkuu huu uzi nimeuona leo, mimi ni mpenzi sana wa Mchiriku, na haswa hawa jamaa wa Jagwa... nimefurahi, hongera sana. Hivi mfano nataka kuwaona Jagwa waki perform naweza kuwapata wapi?
mkuu una ile WATOTO WA MJINI..Tembelea pande za CCM Mwinjuma Mwananyamala,kila weekend wanakinukisha.Tena sasa hivi wana safu mpya ya wasanii baada ya muimbaji wa kuitwa Machupa kujiunga Jagwa akitokea Wanyamwezi.
Yes kama kawa ipo,nifuate what's up kwa 0713963812mkuu una ile WATOTO WA MJINI..
[emoji445]Jagwa kwetu sisi fani ohh..tunafanya burudani..[emoji445]..Kama unayo naiomba.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu naomba nikutafute unipe Ya jack simela..inaitwa SELE MPARE nadhani..inaimbwa USIKATE TAMAA,SELE WEW KABLA HUJAFAAAA..Zembwela na Muddy Kadogo.
Mkuu habari yako kaka, kama bado upo humu JF na unaikumbuka post yako hii, tafadhali nilikuwa naomba wimbo wa "Mfungwa hachagui gereza" ulioimbwa na marehem Omary Omary.Yaah,nyakati hizo ndio Jagwa wamepamba moto kuurudisha mziki wao wa mnanda ambao tayari ulishatekwa na watoto wa Temeke kama akina,Omary Omary(Atomic),Chuna(Kombora)IssaKiyange(Buti kubwa/Uraibu),Mwina(Miami Beach)na Matajiri watoto (Seven Survivor).
Nifuate what's up kwa 0713963812 nikupatieMkuu habari yako kaka, kama bado upo humu JF na unaikumbuka post yako hii, tafadhali nilikuwa naomba wimbo wa "Mfungwa hachagui gereza" ulioimbwa na marehem Omary Omary.
Natanguliza shukran mkuu [emoji120]
Umeupata?Mkuu habari yako kaka, kama bado upo humu JF na unaikumbuka post yako hii, tafadhali nilikuwa naomba wimbo wa "Mfungwa hachagui gereza" ulioimbwa na marehem Omary Omary.
Natanguliza shukran mkuu [emoji120]
Bado vipi na wewe unautafuta?Umeupata?
Zembwela na Muddy Kadogo.