Niulize jambo lolote kuhusu mziki wa Mchiriku/Mnanda

Niulize jambo lolote kuhusu mziki wa Mchiriku/Mnanda

Mkuu hebu naomba niambie Oscar Mkoba alikuwa nani? Nona Jagwa walimtungia wimbo kabisa nadhani uko katika Albamu ya Liwalo na Liwe.
Oscar alikua ni mdau tu wakaribu wa band ya Jagwa na wasanii wake kwa ujumla (Masela Mchiriku),hivyo kifo chake kiliwahudhunisha sababu alikua ni mwana.
 
Mkuu huu uzi nimeuona leo, mimi ni mpenzi sana wa Mchiriku, na haswa hawa jamaa wa Jagwa... nimefurahi, hongera sana. Hivi mfano nataka kuwaona Jagwa waki perform naweza kuwapata wapi?
Tembelea pande za CCM Mwinjuma Mwananyamala,kila weekend wanakinukisha.Tena sasa hivi wana safu mpya ya wasanii baada ya muimbaji wa kuitwa Machupa kujiunga Jagwa akitokea Wanyamwezi.
 
Tembelea pande za CCM Mwinjuma Mwananyamala,kila weekend wanakinukisha.Tena sasa hivi wana safu mpya ya wasanii baada ya muimbaji wa kuitwa Machupa kujiunga Jagwa akitokea Wanyamwezi.
mkuu una ile WATOTO WA MJINI..
[emoji445]Jagwa kwetu sisi fani ohh..tunafanya burudani..[emoji445]..Kama unayo naiomba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau natafuta nyimbo za Hissani Gali kubwa kama mtu anazo msaaada jamani nimewakumbuka vijana wenzangu wa miaka hiyo...natanguliza shukran
 
Yaah,nyakati hizo ndio Jagwa wamepamba moto kuurudisha mziki wao wa mnanda ambao tayari ulishatekwa na watoto wa Temeke kama akina,Omary Omary(Atomic),Chuna(Kombora)IssaKiyange(Buti kubwa/Uraibu),Mwina(Miami Beach)na Matajiri watoto (Seven Survivor).
Mkuu habari yako kaka, kama bado upo humu JF na unaikumbuka post yako hii, tafadhali nilikuwa naomba wimbo wa "Mfungwa hachagui gereza" ulioimbwa na marehem Omary Omary.
Natanguliza shukran mkuu 🙏
 
Mkuu habari yako kaka, kama bado upo humu JF na unaikumbuka post yako hii, tafadhali nilikuwa naomba wimbo wa "Mfungwa hachagui gereza" ulioimbwa na marehem Omary Omary.
Natanguliza shukran mkuu [emoji120]
Nifuate what's up kwa 0713963812 nikupatie
 
Mkuu habari yako kaka, kama bado upo humu JF na unaikumbuka post yako hii, tafadhali nilikuwa naomba wimbo wa "Mfungwa hachagui gereza" ulioimbwa na marehem Omary Omary.
Natanguliza shukran mkuu [emoji120]
Umeupata?
 
Mi NAIKUBALi nyimbo ya Omar Omar kupata ni majaliwa ata kama ULIKUWA ufautilii mnanda nyimbo yake ilipenya Kila sehemu na dogo mfaume pia
 
Back
Top Bottom