Forrest Gump
JF-Expert Member
- Jul 2, 2021
- 637
- 1,532
- Thread starter
-
- #101
Dar nenda gerezani k.koo, swahuli na mwz rwegasore na uhuru str.Mkuu Forrest Gump naomba unitajie baadhi ya machimbo bora kabisa kwa mwanza na dar kwa ajili ya kumea mzigo wa kwenda kuuza reja reja dukan kwa ambao ndo Kwanza tunaanza
Unadeal vipi na staff wezi?Kama hardware kubwa... unapaswa kufanya kama mara mbili, kwa wiki... wafanyakazi ni wezi sanaaa
Hapana boss, hata kama uko mbali, we pakia vile vilivyopatikana piga simu jama wanakuletea ..na hapo unampiga sound mtej na stori za siasa na hali ngumu ya kimaisha..
Hardware inakaa sehemu yoyote mkuu, either city centre au nje pembezoni kivyako
ILA,
Kama unadeal na material kubwa kama za finishing na foundation unaweza kaa pembezoni kuwafata huko wanaojenga..hapa unaweza kaa mwenyewe kwa kuwa unajua mtu akitaka cement lazima aje kwako kwa ukaribu sio lazima aende town
Lakini
Kama hardware yako imeshamiri tools na equipments unashauriwa kukaa kati kati kwenye mihangaiko ya watu..hapa nikuattract mafundi wanaokuja town..na wateja wengine wanaopita
Mkuu unaweza share sababu za kufeli kwako ili tujifunze pia?Huwezi. Mimi nilijaribu nikashindwa. Nikakimbia
Mkuu unaweza share sababu za kufeli kwako ili tujifunze pia?
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Aende kwa mwamposa chapuKuna mteja wa kuku mwezi july alinihadithia kijana wake alimuibia mpka kufungua hardware ndogo tena pembeni yake na nyumba kajenga kupitia hardware yake chini mpka kupaua ila ushahidi anao wa kuibiwa ila kila akitaka kumchukulia hatia basi iyo siku ataumwa hata kutembea atashindwa (mr yupo kwenye70) wanaamini alitumia pia nguvu za giza kuwapumbaza (mr&mrs)
Kuna jamaa pia namfahamu nayey anafanya Kaz kwenye hadrware ya mtu pale tegeta jamaa anayo gari ya kutembeleaa na amefungulia mkeo maduka mawili ya nguo mazuri sna Happ Happ karibu na hardware huwa najiuliza huwa kawezaje mpk kuweza kumiliki gar na kumfungulia mke wake maduka ya nguo hakika wachaga siyowatu wa kuwa chezeaa yaaniKuna mteja wa kuku mwezi july alinihadithia kijana wake alimuibia mpka kufungua hardware ndogo tena pembeni yake na nyumba kajenga kupitia hardware yake chini mpka kupaua ila ushahidi anao wa kuibiwa ila kila akitaka kumchukulia hatia basi iyo siku ataumwa hata kutembea atashindwa (mr yupo kwenye70) wanaamini alitumia pia nguvu za giza kuwapumbaza (mr&mrs)
Watu wanaanza na 5mHuu uzi uko poa sana. Mfano kwa mtaji wa 10M siwez kuanza biashara.?
Upo sahihi kabisaWatu wanaanza na 5m
Malengo yangu yapo hapo hapo kwenye 5m, kuna ndugu yangu alianza na saruji tuu kwa sasa duka ni kubwaUpo sahihi kabisa