Niulize kuhusu biashara ya hardware, nitajibu kwa uwezo wangu

Niulize kuhusu biashara ya hardware, nitajibu kwa uwezo wangu

Mkuu Forrest Gump naomba unitajie baadhi ya machimbo bora kabisa kwa mwanza na dar kwa ajili ya kumea mzigo wa kwenda kuuza reja reja dukan kwa ambao ndo Kwanza tunaanza
Dar nenda gerezani k.koo, swahuli na mwz rwegasore na uhuru str.
 
Hardware inakaa sehemu yoyote mkuu, either city centre au nje pembezoni kivyako

ILA,

Kama unadeal na material kubwa kama za finishing na foundation unaweza kaa pembezoni kuwafata huko wanaojenga..hapa unaweza kaa mwenyewe kwa kuwa unajua mtu akitaka cement lazima aje kwako kwa ukaribu sio lazima aende town

Lakini

Kama hardware yako imeshamiri tools na equipments unashauriwa kukaa kati kati kwenye mihangaiko ya watu..hapa nikuattract mafundi wanaokuja town..na wateja wengine wanaopita

Huu uzi ungekuja mwaka jana tu ungeniepusha na haya nayopitia, ila wanasema wakati wa Mungu ndio wakati sahihi, inawezekana haukuwa wakati wa Mungu,
Wacha nijipange tena,
Nasoma kila msg, ni uzi wangu pendwa kabisa tangu mwaka uanze,
Barikiwa sana sana.
 
Mkuu forest mim nataka kufungua electronic hardware yan hardware itayodeal na vifaa vya umeme tu
Vipi kwa uzoefu wako niandae M ngapi? Na je vip profit ipo?

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
Mkuu unaweza share sababu za kufeli kwako ili tujifunze pia?

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app

Nadhani mkuu kwenye kila aina ya biashara kuna kiwango cha chini cha mtaji ambao unaweza kuuzungusha na ukazalisha faida. Mtaji ukiwa mdogo sana unaweza shindwa kujiendesha au kutengeneza faida na hivyo biashara kushindikana.
 
Kuna mteja wa kuku mwezi july alinihadithia kijana wake alimuibia mpka kufungua hardware ndogo tena pembeni yake na nyumba kajenga kupitia hardware yake chini mpka kupaua ila ushahidi anao wa kuibiwa ila kila akitaka kumchukulia hatia basi iyo siku ataumwa hata kutembea atashindwa (mr yupo kwenye70) wanaamini alitumia pia nguvu za giza kuwapumbaza (mr&mrs)
 
Aende kwa mwamposa chapu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kuna jamaa pia namfahamu nayey anafanya Kaz kwenye hadrware ya mtu pale tegeta jamaa anayo gari ya kutembeleaa na amefungulia mkeo maduka mawili ya nguo mazuri sna Happ Happ karibu na hardware huwa najiuliza huwa kawezaje mpk kuweza kumiliki gar na kumfungulia mke wake maduka ya nguo hakika wachaga siyowatu wa kuwa chezeaa yaani

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Habari.

Naomba ushauri kwa mwenye uzoefu wa biashara ya hadwere, nina mtaji wa 20, m nahitaji kuanza biashara hiyo. Naomba mchanganuo wake, namna ya kubalance ili itoshe.

Natamani nianze na cement, mbao, bati, na vitu nyengine vidogo vidogo vya dukani. Biashara nataka kufungulia mikoa ya kusini huko. Natanguliza Shukrani sana wana JF.
 
Back
Top Bottom