Na wewe mumburundi unasemajeAtatokea Myahudi wa Mpitimbi, Songea atakwambia Israel imeshinda. Hapo hapo atatokea Muajemi wa kishia atakwambia Myahudi ni kafiri, ameshashindwa vita. 😁
Wewe Mzayuni wa TelAviv unamaoni gani?Kobazi wa kibongo watakuambia iran ameshinda
Vita vya siku hizi inapiganwa KIMKAKATI na sio kutafuta mshindi kama mashindano.Mbabe ni nani? Naona kama vile Iran anawapelekesha puta hawa magwiji wa kila kitu duniani!
WHO IS THE WINNER Echolima1
Na wewe mumburundi unasemaje
Ni akili za kipimbi tu kuamini kuwa Iran ambayo Inapigwa kama ngoma inashinda vita.Mbabe ni nani? Naona kama vile Iran anawapelekesha puta hawa magwiji wa kila kitu duniani!
WHO IS THE WINNER Echolima1
Kutukana si kujenganhoja! Achana na mambo ya Upimbi! Nina uhakika kama USA angelikuwa amefanyanhayo yote uliyoyasema kwa. Kutukana, Hormuz ingelikuwa wazi to date! Meli zote zingelipita bila vikwazo under USA capture!Ni akili za kipimbi tu kuamini kuwa Iran ambayo Inapigwa kama ngoma inashunda vita.
Ni upimbi kuamini Iran ambayo imepoteza viongozi wake wa serikali na kijeshi zaidi ya 300 walio angamizwa na Majeshi ya Israel.
Ni upimbi kuamini Iran ambayo imepoteza jeshi lake lote la anga(Airforce) kuwa Inashinda.
Ni upimbi kufikiri kuwa Iran ambayo Mifumo yake yote ya ulinzi wa anga iliangamizwa na majeshi ya Israeli na sasa Ndege-vita za Israel na Marekani zinaingia na kutoka kwenye anga la Iran bila kikwazo chochote harafu unadai kuwa Iran inashinda!!
Ni upimbi kuamini kuwa Iran ambayo kuna ndege-vita ya marekani ilianguka na marekani wenyewe kwa msaada wa Israel waliweza kuja na kuwachukua marubani wao bila kikwazo chochote halafu udai kuwa Iran inashinda!!
Ni upimbi kufikiri Iran anashinda vita wakati Meli-Vita zake zote sasa hivi ziko chini ya bahari zimezamishwa na Majeshi ya Israel na Marekani!!
Ni upimbi uliopindukia kuamini Iran inashinda wakati hakuna mtawala wa nchi hiyo maana kila mmoja anajisemea tu anapojisikia maana hata Majitaka Khamenei naye hajulikani alipo!!
Labda haya yaanayozalishwa Afrika ni ya kupakaaKwanin Hormuz ni muhimu kwa Africa ilihali
Kuna nch za Africa zinazalisha mafuta?
DuhLabda haya yaanayozalishwa Afrika ni ya kupakaa
Una akili kweli kufikiri Iran apigane na Marekani na Israel harafu Iran aibuke mshindi!!!!Kutukana si kujenganhoja! Achana na mambo ya Upimbi! Nina uhakika kama USA angelikuwa amefanyanhayo yote uliyoyasema kwa. Kutukana, Hormuz ingelikuwa wazi to date! Meli zote zingelipita bila vikwazo under USA capture!
Matusi si hoja!
Kwanin Hormuz ni muhimu kwa Africa ilihali
Kuna nch za Africa zinazalisha mafuta?