Wanataka kusema kuwa waloni walikuwa watu wema sana kuliko watawala wetu Afrika sasa hivi? Waliishi, kula, kunywa, na kuimba pamoja na wakoloni bila kuwaonya juu ya matendo yao maovu juu ya waafrika na afrika.Sijui kama utaeleweka
Watu wooote watakufa, tunapitaa tu. Kama Yesu alikufa sembuse mimi na wewe? Mimi siwezi kuwa mjinga na kukaa mbali na siasa kwakuwa maisha yetu yote yamezunguukwa na siasa. NIliyosema hapa ni fact. Kama watu wa dini wangewakemea wanasiasa wakati wa ukoloni huenda tungepata nafuu kubwa. mali zetu zisingeporwa kwa kiasi kile, watu wetu wasingeuzwa kama bidhaa kwa kiasi kile. Kama walikaa kimya kwa watawala wakati ule waendelee kukaa kimya kwa watawala hata sasa.Naomba sana kavulata kaa mbali na siasa za afrika!
Mbona wakati ule walisemaga ya Kaisari mwachie Kaisari na ya Mungu mpe Mungu? Mbona leo ya Kaisari na ya Mungu wanataka kuhangaika nayo yote?Dini na Siasa ni watoto wawili wa mama mmoja baba tofauti hii kitalaamu tunaita Chinekune
Kweni Padre Charles Kitima kashambuliwa kwa sababu gani kama sio kuhubiri HAKI na hawa watawala wa leo wanatofauti gani na "Wakoloni"?!Una uhakika kama waliwakemea wakoloni pia wasitudhulumu?
Kaa mbali na Mama yako aliyekuza kubwa jinga.Dini zetu hizi mbili zina bahati mbaya sana Afrika, ujio wake Afrika uliambatana na watu waliotenda mabaya na wanaendelea kuyatenda mabaya Afrika mpaka leo. Bahati mbaya sana watu wa dini hizi hawakuwakemea na hawawakemei hadi sasa. Walikuwa wakiwasalisha na wanawasalisha mpaka sasa bila kuwataka waungame kwa kile walichoitendea Afrika na wanachoendelea kuitendea Afrika.
Waarabu walikuja na dini ya Kiislamu pamoja na wafanyabiashara wa viungo, pembe za ndovu na watumwa. Waarabu hawajawahi kuomba ladhi na hawaombi ladhi mpaka leo. Watu wa dini hii walikuwa wanawaswalisha na wanawaswalisha mpaka leo, ni rafiki zao.
Wazungu walikuja na dini ya Ukristo kama wamisionari na baadae wakafuatiwa na wakoloni (watesi wetu). Wamisionari hawa walikuwa wakiishi mtaa mmoja na wakoloni waliotununua na kutusafirisha kama watumwa, walipora rasilimali zetu na kuua tunapokataa kunyonywa na kutawaliwa. Wasionari hawa walikuwa wakiwasalisha wakoloni bila kuwataka waungame, ni rafiki zao.
Watu wa dini hawa wasifikiri kuwa hatujui kuwa masheikh wana uhusiano na waarabu walitufunga minyororo na maaskofu wana uhusiano na wakoloni wetu waliotuibia rasilimali zetu. Sisi tunajua na serikali inajua pia.
Watu wa dini ni marafiki wakubwa wa watesi wetu maana walikuwa ni waumini wao wakubwa; hivyo wanapotaka kufanya siasa hapa Afrika wasisahau hilo ili wasije wakaeleweka na kudhaniwa vibaya. Kama walivyokuwa wakiwasalisha na kuishi na watu waovu (wakoloni) bila ya kuwakemea wanyamaze hivyohivyo milele hata kwa wanasiasa wa Kiafrika la sivyo wataonekena kama vile wamebeba ajenga kuhusu rafiki zao (wakoloni). Hakuna ubishi kuwa watu wa dini walisikitika sana wakati wakoloni (waumini wao) walipoondoshwa Afrika.
Unataka kuhalalisha mlichomfanyia Padre Kitime, hamna kingine.Dini zetu hizi mbili zina bahati mbaya sana Afrika, ujio wake Afrika uliambatana na watu waliotenda mabaya na wanaendelea kuyatenda mabaya Afrika mpaka leo. Bahati mbaya sana watu wa dini hizi hawakuwakemea na hawawakemei hadi sasa. Walikuwa wakiwasalisha na wanawasalisha mpaka sasa bila kuwataka waungame kwa kile walichoitendea Afrika na wanachoendelea kuitendea Afrika.
Waarabu walikuja na dini ya Kiislamu pamoja na wafanyabiashara wa viungo, pembe za ndovu na watumwa. Waarabu hawajawahi kuomba ladhi na hawaombi ladhi mpaka leo. Watu wa dini hii walikuwa wanawaswalisha na wanawaswalisha mpaka leo, ni rafiki zao.
Wazungu walikuja na dini ya Ukristo kama wamisionari na baadae wakafuatiwa na wakoloni (watesi wetu). Wamisionari hawa walikuwa wakiishi mtaa mmoja na wakoloni waliotununua na kutusafirisha kama watumwa, walipora rasilimali zetu na kuua tunapokataa kunyonywa na kutawaliwa. Wasionari hawa walikuwa wakiwasalisha wakoloni bila kuwataka waungame, ni rafiki zao.
Watu wa dini hawa wasifikiri kuwa hatujui kuwa masheikh wana uhusiano na waarabu walitufunga minyororo na maaskofu wana uhusiano na wakoloni wetu waliotuibia rasilimali zetu. Sisi tunajua na serikali inajua pia.
Watu wa dini ni marafiki wakubwa wa watesi wetu maana walikuwa ni waumini wao wakubwa; hivyo wanapotaka kufanya siasa hapa Afrika wasisahau hilo ili wasije wakaeleweka na kudhaniwa vibaya. Kama walivyokuwa wakiwasalisha na kuishi na watu waovu (wakoloni) bila ya kuwakemea wanyamaze hivyohivyo milele hata kwa wanasiasa wa Kiafrika la sivyo wataonekena kama vile wamebeba ajenga kuhusu rafiki zao (wakoloni). Hakuna ubishi kuwa watu wa dini walisikitika sana wakati wakoloni (waumini wao) walipoondoshwa Afrika.
Wewe unasema hivyo; mimi sijui Kitima ni nani na alifanyiwa nini. Hata naisemea Afrika, sio Tanzania. Kule Rwanda watu wa dini walishiriki kwenye matukio mabaya wakati wa genocide, kule DRC watu wa dini wanahusika na kuiyumbisha Congo, Kule Sudani mataifa ya kidini yanachochea pande zao.Unataka kuhalalisha mlichomfanyia Padre Kitime, hamna kingine.