Nje ya mawazo ya Mwanadamu Mungu hayupo, hajawahi kuwepo, na hatakuwepo

Yote kwa yote waliokufa wanajua ukweli kama Mungu yupo au hayupo, kama heaven and hell are real... wengine tunadanganyana tuu siku ziende
 
Imani kwa Kiswahili ni neno lenye maana mbalimbali (k.mf. "huruma"), lakini ile kuu inahusiana na kitenzi kuamini, kinachofanana na kusadiki. Hapo ni kukubali ukweli wa jambo lisiloweza kuthibitishwa.

Meanwhile ukiwa na imani huna uhakika
Katika maelezo haya, kitu cha kwanza wanakubali hili neno imani lina tafsiri mbali mbali.Kama ni hivyo basi,anyone defining faith can't solely rely on this definition.

Pili wanasema maana kuu inahusiana na kitenzi kuamini na maelezo yake ni kuwa kukubali ukweli wa jambo lisiloweza kuthibitishwa.

Swali ni hili: Jambo linaweza vipi kuwa la kweli alafu likakosa uthibitisho?

Unaweza kunisaidia hapa mkuu wanamanisha nini kwamba jambo ni la kweli alafu haliwezi kuthibitishwa. Wewe kwako hii huoni kama ni fallacy?
 
Creator kwa maana ya cause( natural source)ya kila kitu
 
binadamu anahitaji sababu na purpose ya kumfanya aishi.
vinginevyo kuna maana gani ya maisha?
 
Yupo
 
Kwanza nieleweshe maana yako ya imani kwa mujibu wako unavyo ielewa.

Pili unachanganya mambo inaonesha hujaelewa vizuri hoja, hoja imesema kukubali jambo kua nilakweli bila uthibitisho, hoja haijasema jambo linaweza kua nila kweli bila uthibitisho. Sijui umenielewa kipande hicho?, Na kukubali kuliko zungumziwa hapo ni hope sio by evidence

Imani hua na factors mbili positive and negative, kwa maan aya kwamba positive uwezekano wa jambo hilo kutokea kama ambavyo mtu ali wish before au alivyotumaini, au ikaenda kinyume (negative) kwa kwenda kinyume na mategemeo yake ambayo alidhania yatakua

Mfano kesho yanga anacheza na rivers united huko nigeria, na leo haji manara kasikika akasema kua yanga wanaenda kushinda hiyo mechi ambayo inachezwa kesho, well hiyo ni imani kajikubalisha kua watashinda pasipo hata kuwa na uthibitisho pengine hata mechi inaweza isichezwe . Je kwa muktadha huu wa sasa haji manara yuko sahihi? Bila shaka jibu ni haijulikani kwasababu mechi haijachezwa hivyo outcome inaweza kuja katika negative au positive na kumprove wrong manara

Sasa chukulia alichokisema manara ndio uthibitisho, utasema yanga kashinda kwa uthibitisho upi na mechi haijachezwa
 
Tafsiri yangu ya neno faith naweza sema ni power, act of remaining unbiased after knowing the truth or believing that something will be ok based on prior experience. sorry nimeshindwa kukupa tafsiri ya kiswahili maana hizi lugha nimekuwa nazichanganya kwa mda ila naamini hamna kilicho haribika.

Na issue ni hivi umesema wanasema ni kukubali kuwa jambo ni la kweli bila uthibitisho si ndio? sasa doubt yangu ni hii hapa, sidhani kama kuna jambo linaweza kuwa la kweli alafu eti lisiwe na uthibitisho sasa hapo wanatakusema ni kitu gani kinawaongoza mpaka kufikia huo ukweli wanaodai ni ukweli?
 
Hiyo mbona ni maana ya uthibitisho sio imani?

Ukweli ni product inayotokana na kujua na sio imani, imani ni tumaini kua jambo hilo litakua kwa namna ambayo una wish liwe au unakadiria. Imani ni mashaka, Imani haina uhakika, penye lack of uhakika hapana ukweli.

Nimeongezea nyama kwenye comment yangu hapo juu kwa kuweka mifano zaidi
 
I dont believe in God
I dont believe in Jesus
I dont believe in Allah
I dont believe in Mohammed
I dont belive in Buddha
I dont believe in Krishna
I dont believe in Local beliefs

But i believe in Me
Only me
Only my way


Dont ask why?
 
Ulivyosema ni sawa na ndio maana nkasema hakuna mtu atakuja akwambie ana imani na kitu fulani bila ya kuwa amejua ukweli au uzoefu wa nyuma na ndio maana mapema nilikudokeza kwamba ata hao mitume na manabii had revelation first on existence of God kabla ya kuanza kuamini au kueleza habari za Mungu.

So ukweli kwa maelezo haya nliyotoa lazima utangulie and a point of information,faith sio product ya ukweli instead ni that feeling or power you have on a situation after knowing the truth.

Mwisho kabisa nikushukuru kwa kila kitu nadhani kwa leo hapa ndo tamati
 
Hiko kitu ukikirusha kwenye zero gravity area hakishuki chini. Sasa unasemaje huwezi amini uwepo wa gravitational force.
naongelea kukiprove existence sio siamini tunajua gravity ipo kwa sababu ukirusha kitu kinarud hakun prove nyinngine zaid ya hiyo
uwepo wake ni effect yak bas
 
I dont believe in God
I dont believe in Jesus
I dont believe in Allah
I dont believe in Mohammed
I dont belive in Buddha
I dont believe in Krishna
I dont believe in Local beliefs

But i believe in Me
Only my mind
Only my way


Dont ask why?
mind ina exist wap kifup unabelieve kweny kitu ambacho ni cha kufikirika pengine kuliko hata Mungu
 
What caused Big Bang?

Existance ilikuwaje before such Bang?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…