Njia gani zitumike kulisafisha Jeshi la polisi dhidi ya yanayoendelea?

Kwani kuna mahali polisi ameruhusiwa kutoa uhai wa mtu asiye na silaha, bila kumfikisha Mahakamani?
 
SI wote,

Ni wachache mno,

Na ndipo ilipo hoja ya kulisafisha!
Sio wote kivipi? Ulisikiliza mjadala wa bungeni na maoni waliyotoa wabunge? Ulisikia maneno ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi kule Serengeti?
 
CCM wameshateka na kuvuruga kila taasisi, TISS, Polisi, Uhamiaji na ofisi za umma.

Taaisi pekee ambayo kwasasa wanajichomeja taratibu taratibu ni JWTZ.
 
Sio wote kivipi? Ulisikiliza mjadala wa bungeni na maoni waliyotoa wabunge? Ulisikia maneno ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi kule Serengeti?
Namaanisha SI polisi wote ni WA tabia hizo!
 
K
Jeshi la Polisi ni moja
Kwamba kifutwe Kisha kuanza upya?

Mbona muundo uko vizuri tu.

Nadhani tuhamie kupiga kelele Ili bunge lifute Ile Sheria ya watu wa usalama kupewa nguvu isohimilika!
 
Ingia You tube msikilize wakili Mwabukusi, ushauri wake aliouongea leo trh 04/06/25 ukizingatiwa utafaa sana katika kulishape jeshi la Polisi Tz.

Yaani liwe na sura ya Polisi wa Marekani, kila County inaajiri Polisi wake, tena kule wanaitwa Sharrif.

Halafu Polisi wa Jamhuri wanakuwa ni wale wa department ya upelelezi tu.
Maelezo mazuri sana katoa, fuatilia huko.
 
Gwajima alitoa USHAURI ,wakiufuata UTEKAJI unaisha siku moja tu.
 
Ungesaidia kuweka link ya video hiyo hapa🙏
 
Muliro anakwambia kina Aghata na Boniface yale waliyoongea ni MAONI yeye hana jibu mpaka akutane nao na awaulize MASWALI direct otherwise walichoongea ni MAONI.
 
CCM wameshateka na kuvuruga kila taasisi, TISS, Polisi, Uhamiaji na ofisi za umma.

Taaisi pekee ambayo kwasasa wanajichomeja taratibu taratibu ni JWTZ.
Hata hao TPDF hamna kitu na wao viongozi wanawaingilia mbona
 
Ndugu yangu eeeee?

Tutashindwa kusaidia ila Mwandi wa Kenya na dada wa Uganda wanauthibitisho wa doctor.

Tuwaachie mahakama iwasafishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…