Njia gani zitumike kulisafisha Jeshi la polisi dhidi ya yanayoendelea?

Lifumuliwe iwe ni POLICE SERVICE na sio POLICE FORCE.
Police wetu huwa wanatuomba lift tuwasogeze maofisini kwao,

Sasa kwa Hali hii, itawezekana kweli kumpa lift askari?

Tujisahihishe.
 
Police wetu huwa wanatuomba lift tuwasogeze maofisini kwao,

Sasa kwa Hali hii, itawezekana kweli kumpa lift askari?

Tujisahihishe.
Unaweza kumpa polisi lift akakuwekea madawa ya kulevya ukaambiwa ulikuwa unasafirisha madawa ya kulevya.
 
WEWE huogopi mahali pa haki aingie polisi amevaa maski?
Hili linatisha kuliko kitu kingine chochote.
Polisi anayelinda usalama na kuhakikisha sheria zinafuatwa, halafu yeye mwenyewe aogope kutimiza majukumu yake kisheria?
 
Simple ni kuiondoa ccm madarakani tu
Mbowe: Wanaokataa chanjo za COVID 19, wakamatwe na kuchanjwa kwa lazima.

Hoja ipo hapo kwenye lazima, nani wa kulazimisha lazima kama SI hao hao polisi?

Sasa mfumo ni muhimu kubadilika ndipo vyama vifuate mabadiliko ya mfumo.
 
CCM wameshateka na kuvuruga kila taasisi, TISS, Polisi, Uhamiaji na ofisi za umma.

Taaisi pekee ambayo kwasasa wanajichomeja taratibu taratibu ni JWTZ.
Yule nondo na wenzie waliomteka na kumlawiti dada yule ni hao hao!
 
Mapinduzi tu ndio yatasafisha polisi na tena halitaitwa jeshi itakuwa idara ya polisi
 
Lisafishike ili iweje? Liende wapi? Kwa ajili ya nani na kwa nini? Hakuna namna litasafishika, that is their destiny.
 
Polisi ni kama kaniki, ngumu kusafishika
 
Nawao waanze kutekwa na familia zao nadhani ndio watauona uchungu wakumchukua mtoto wa mwenzio kumuua na kumtoboa macho.
 
Kwa nchi ilipofikia mkuu hamna namna ya kusafisha mahali zaidi ya kuleta katiba mpya, period! Nani msafi hadi asafishe wenzie? rais? bunge? tissue? mahakama? nani wa kumnyoshea mwenzie kidole hapo? Ni kukaa chini tu na kuanza upya kwa mustakabali mpya wa hili taiferi!
 
Njia rahisi ni kuwauwa wote πŸ§‘β€πŸ¦― na kuanza upya
 
Huyo ni wa kupitia tu,

Jeshi ni taasisi.
Hata kama ni wa kupita hujui ya kwamba kwa aina ya uongozi kwa kama TZ Rais anaathiri sana shughuli zote nchini, na ndo maana nimekwambia akitokea hapa Rais ambae hafagilii huu ujinga kutakuwa hakuna tena kutekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…