Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Za ndaaani hilo group upo wewe coca na komweHapana hakuna kitu kama hicho mpaka sasa kwa group wamesema tuendelee kule kule
Kafie mbele wewe 😂😂😂
we mwenye huna mbinu unatakiwa kusaidiwa mbinuKama kijana ambaye hutaki mambo ya kuvuja jasho...
Hutaki kazi ngumu na kazi huna....
Unataka maisha smart ila kazi ngumu hutaki..
Basi hapa panakufaaa takupa mbinu ambazo zitakufanya wewe uwe unapata pesa bila kusumbuka.. sawa blood..
Oky endelea fatilia zaidi kila siku tatoa mbinu tatu ambazo zitafanya wewe kijana upate pesa ukiwa zako umekaa ...
Siku hizi pesa hawatafuti bali wanatega tuu just use brain vizuri kijana....
Kama kuna swali nakaribisha
Wakuu darasa bado linaendelea huku kwa group japo naona kuna ishu naombeni kama unatuma sms ya muhamala basi tuma na namba yako ya wasap ..🙏🙏🙏🙏🙏
Hizo mbinu zingekuwepo ungekuwa umeshaziandika, au unaona kila mtu ni mtoto hum
Ukiona mbogo anakuchawishi kwenye fursaHizo mbinu zingekuwepo ungekuwa umeshaziandika, au unaona kila mtu ni mtoto humu?
Kaka inawezekana kutengeneza pesa bila kutoka jasho ila inabidi uwe na pesa kwanza na kama hauna hakuna shortcut shajo lazimaAsanteni sana ndgu zangu kwa kuwa na utulivu japo wengi wamekua wana nidhihaki wakizani nipo hapa kutania..
Kwanz kabla sijaanza naomba weka mbali swala lako la imani kuhusu dini ili tuendelee huku mbele sitaki kuulizwa kama utaona dhambi kaa kimya waaache wenye uhitaji.
Pili kuna watu wanasoma id na kuanza kudhihaki wakuu hiyo ni id tuu mtu anapokuja kutoa fursa wee ka kwa kutulia unaweza ukajikuta una saidika hapa bila kuelewa imekuaje kuaje..
Ushawahai jiuliza hawa watu mtaani wanafanya nini mpaka wanamiliki pesa ambazo wewe unahangaika lakini wapi unaishia kuwa wa kawaidda tuu..
Naomba nikusanue kuwa pesa zina channel zake..
Pesa ni kama madini ukipata mkanda tuu wewe kazi yako ni kufatilia tuu mpaka itakapofikia...
Pesa zina roho (pesa inapumua) pesa kama unaichukulia poa na wewe itakuchukulia poa..
Kabla sijafika mbali hakikisha una kadi ya benki kama kijana ambaye unataka mafanikio na hii kadi ya benki itakusaidia hapo mbele...
Nakuja kuanza darasa...
Kuna kanamna hapa😂😂🙌Hapana hakuna kitu kama hicho mpaka sasa kwa group wamesema tuendelee kule kule
So upo tayali kutega Yass eti
Kama kijana ambaye hutaki mambo ya kuvuja jasho...
Hutaki kazi ngumu na kazi huna....
Unataka maisha smart ila kazi ngumu hutaki..
Basi hapa panakufaaa takupa mbinu ambazo zitakufanya wewe uwe unapata pesa bila kusumbuka.. sawa blood..
Oky endelea fatilia zaidi kila siku tatoa mbinu tatu ambazo zitafanya wewe kijana upate pesa ukiwa zako umekaa ...
Siku hizi pesa hawatafuti bali wanatega tuu just use brain vizuri kijana....
Kama kuna swali nakaribisha
Wakuu darasa bado linaendelea huku kwa group japo naona kuna ishu naombeni kama unatuma sms ya muhamala basi tuma na namba yako ya wasap ..🙏🙏🙏🙏🙏
Cc. min -me , Intelligent businessman , Monetary doctorVijana mnaosubiri mbinu ni kwamba hazipo
Kwa kipi?Wakuu asanteni sana
Knowledge ya biashara, na kilimo plus ufugaji 👊Cc. min -me , Intelligent businessman , Monetary doctor
Mkuu,
Dr. Santos Kuna muda nikizama kwenye ulimwengu wa ideas "UTOPIA" huwa naona utajiri mwingi Sanaa hapa nyumbani Tz.
Nyenzo ya kwanza sio kua na mtaji au pesa.
Kuna ma Giant..ma Godfather wangu ma mentor nilikaa nao Sana nikiwa underdog ili kuchota MAARIFA yao mengi ambayo wengi wetu hatuyajui na hayafundishwi VETA 😊
Kwa wote ambao wameweka kambi hapa niwaambie kitu tafuta industry yeyote ji associates na ma GURU wa hiyo industry kubali kuanzia Chini jipe malengo ya miaka 10 then focus usiache kumwomba MUNGU. Mfano wa industry zipo nyingi mfano fani/ ufundi wowote.. biashara,kilimo,ufugaji, e.t.c