Njia Mbali mbali za kupata Pesa bila kuvuja jasho

Mix by yas . .. inalipa Sana mkuu.
Ila me yang inanipa heshima Kama mwanaume. Bora niuze figo Ila mix yangu ntakufa nayo. πŸ˜πŸ™πŸ˜
YAKUZ YAVUZ
 
Watengeneze kikundi,wajikusanye wafike buku moja na kila mmoja awe na ada ya kulipa ili apatiwe darasa.ada ni kidogo shilingi laki moja tu!

Hahaha wapate elimu na mbinu za kutoboa kimaisha bila hustling...
Motivation speakers na manabii feki wanajipigia sana hela za wajinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…