Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
-
- #21
Tatizo ndugu zetu wabongo wamesinzia sana. Ukileta taarifa za michongo kama hizi basi jua wengi watakudhihaki na kukuponda, ila ukileta zile zinazohusu Diamond, Zuchu, Kiba nk basi ujue utapongezwa na kusifiwa kwa kile ulichoandika.Hapa kuna ukweli kidogo. Kuna dada mmoja yupo Sweden ni Mtanzania ila aliniambia alikuja Ulaya kwa njia hii na yupo mpaka leo.
Mtanzania na fursa wapi na wapi ujamaa umetulemaza ujamaa unataka mtu aishi maisha ya kulizika na alichonacho ukiingia vijijini huko utaona mtu akiwa na akiba ya chakula cha kula mwaka mzima kazi imeisha afikiri kumiliki mali wali utajirTatizo ndugu zetu wabongo wamesinzia sana. Ukileta taarifa za michongo kama hizi basi jua wengi watakudhihaki na kukuponda, ila ukileta zile zinazohusu Diamond, Zuchu, Kiba nk basi ujue utapongezwa na kusifiwa kwa kile ulichoandika.
Ndio maana ndugu zetu Wakenya na Waganda hutuacha nyuma kila siku linapokuja swala la michongo na fursa za kwenda kuishi ulaya.
Ni kweli.wewe upo updated na sahihi.warundi wengi mno wameondoka ila ungewaambia mchongo wote ni milion sita.kuanzia passport mpaka unaingia Serbia.ndio mana wenginem wameshindwaHabari zenu wana JF wenzangu,
Wakati wabongo wakiwa busy kulaumiana kuhusu Panya Road, tozo na kuendekeza siasa uchwara.
Kwa upande wa Burundi maelfu kwa maelfu wanazidi kujilipua katika nchi mbali mbali za Ulaya kupitia Serbia.
Kinachotakiwa ni wewe kuwa na passport ya Burundi na 1300 usd mkononi tu.
Warundi wanazidi kumiminika ulaya kupitia njia hiyo, na nasikia kuna baadhi ya wabongo ambao wamekuwa wakivuka boda kuingia Burundi, wakishafika huko wanatafuta passport za kirundi za kusafiria kwa njia wanazozijua wao na hatimae kuondoka.
Huu ni mtonyo na tayari nimeshashuhudia baadhi ya warundi wakirudi kwao ili kwenda kujiandaa na mipango hiyo ya safari.
Kwahiyo kama kuna mbongo yoyote anaujua mchongo huu basi aje aeleze na yeye mawili matatu anayoyajua kuhusu safari hizi.
Hapo chini ni video ya warundi walioingia Serbia kupitia airport ya nchi hiyo.
View attachment 2366842View attachment 2369275
Mimi kuna warundi wengi ambao nawafahamu wameshaondoka.Ni kweli.wewe upo updated na sahihi.warundi wengi mno wameondoka ila ungewaambia mchongo wote ni milion sita.kuanzia passport mpaka unaingia Serbia.ndio mana wenginem wameshindwa
Ni kweli mkuu, hata baadhi ya comments humu zinaashiria hiki ulichoandika.Mtanzania na fursa wapi na wapi ujamaa umetulemaza ujamaa unataka mtu aishi maisha ya kulizika na alichonacho ukiingia vijijini huko utaona mtu akiwa na akiba ya chakula cha kula mwaka mzima kazi imeisha afikiri kumiliki mali wali utajir
Ccm haitapenda tuondoke,Bado inaitaji wajinga wengi waililie serikali .[emoji23][emoji23][emoji23]Nani atabaki kama wataingia mikataba ya namna hii, kwa Burundi imekuwa rahisi kufanya hvyo sababu population yao ni ndogo.
Pia kwa nchi yetu kupata passport yenyewe ni issue.
umeshindwa wewe lkn acha wengine wafanye!! Wacha wapoteze mda...unataka muda wa ile unayo dhania ni faida tuuuu...no!! ...Hayo ni matumizi mabaya ya muda....muda ili upate thamani lazima upoteee. Usifikiri kijima.Ulaya kwa sasa hakuna jipya,
Kama una shughuli zako zinazokuingizia kipato hata 20000 kwa siku,
Nakushauri endelea na maisha ya bongo.
Kwa sasa fursa zipo
Japan.
South Korea,
Canada,
Marekani.
Australia,
Maisha ya ulaya kwa sasa ni kupoteza muda wako bure.
Wabongo wengi wamelala sana. Hata tukipewa hiyo fursa watakaokuja kuitumia ni wakenya na waganda ambao wataondoka kupitia uwanja wa ndege wetu na passport zetu.Nani atabaki kama wataingia mikataba ya namna hii, kwa Burundi imekuwa rahisi kufanya hvyo sababu population yao ni ndogo.
Pia kwa nchi yetu kupata passport yenyewe ni issue.
Huu ulioandika hapa ndio ukweli wenyew japo ni mchungu kwa walio wengi.Hii fursa nzuri,siyo ya kukosa Hata kidogo ,baadhi ya wabongo wengi tunapitwa na fursa kibao na tukiambiwa ukweli tunaleta ubishi nakuona ni utapeli.
Soma post namb #2 na #4 umuone mtu wa kwanza kuwavuta wabongo wenzake mashati ili wasiende kutafuta maisha mbele.Hii fursa nzuri,siyo ya kukosa Hata kidogo ,baadhi ya wabongo wengi tunapitwa na fursa kibao na tukiambiwa ukweli tunaleta ubishi nakuona ni utapeli.
Hizohizo ambazo zimewatoa wengineKupambana Kwa shughuli zipi labda nchi hii ya ovyo ?
Itakuchukua muda gani kufanikiwa huko unakoenda kwa mara ya kwanza kuliko huku ambapo upo tangu kuzaliwaHata wewe unaweza kuwa na ndugu yako ambae alishindwa maisha kijijini, lkn alipokuja mjini akatusua.
Kwahiyo na wengine ni hivyo hivyo kuna watu walishindwa kufanikiwa kwenye nchi zao, lkn walipotoka nje ya nchi zao wakafanikiwa.
Hahaa mi huwa nacheka Sana [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38],watu wanaosema kuna fursa ,bongo hi hiii au ya mars na NeptuneNi kweli mkuu, hata baadhi ya comments humu zinaashiria hiki ulichoandika.
Unaona mtu anaandika eti watu waende ulaya kufanya nini na wakati bongo hapa fursa zipo.
Wakati mtu huyo huyo alieandika kuwa bongo kuna fursa kibao ukienda kwenye jukwaa la siasa utaona ameandika uzi au comment ya kulalamikia serikali kuhusu ukosefu wa ajira na fursa za kibiashara nchini.
Not simple as u think. Nenda Paris wakimbizi wanalala chini ya madaraja kwenye matent. Sasa hivi Ulaya inaharibika na kuna movements za ant migrants. Kule Italia juzi chama cha mlengo wa extrême kulia kimeshinda uchaguzi,,Sweden pia. Yaani Ulaya hapafai. Bora mtu Uende Canada. Mtu cheza Green Card nenda Canada au baki Bongo. Ni bora mtu ubaki Dar kuliko kwenda nchi yeyote ile ya Ulaya.Ya ni kweli kama hauna mwenyeji ni shida. Lkn hawa warundi wao wakishafika huko wanaomba hifadhi ya ukimbizi kwahiyo kila atakaekubaliwa kupewa hifadhi ya kikimbizi atapewa mahali salama pa kuishi, pia swala la malazi, mavazi, maradhi, kula nk ni majukumu ya UN na umoja wa ulaya.
Kwa hali hii hiyo hela ya nauli fanya mtaji baki Dar utatoka tu.Ya ni kweli kama hauna mwenyeji ni shida. Lkn hawa warundi wao wakishafika huko wanaomba hifadhi ya ukimbizi kwahiyo kila atakaekubaliwa kupewa hifadhi ya kikimbizi atapewa mahali salama pa kuishi, pia swala la malazi, mavazi, maradhi, kula nk ni majukumu ya UN na umoja wa ulaya.
Mambo ambayo wabongo hawako nyumaWabongo wanachojua ni kufuatilia mambo ya Diamondi na Zuchu, Amorniza na Kajala, habari za mipira, siasa uchwara nk.
Kweli kabisa. Yaani unatakiwa ujikane na uvae mind ya kurisk katika hali yeyote. Lazima Bongo utoboe. Ulaya utaishia kuvuta unga tu.Fursa ipo Africa tu ila kutoboa inabidi uikane nafsi yako!