Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
- #21
Tatizo ndugu zetu wabongo wamesinzia sana. Ukileta taarifa za michongo kama hizi basi jua wengi watakudhihaki na kukuponda, ila ukileta zile zinazohusu Diamond, Zuchu, Kiba nk basi ujue utapongezwa na kusifiwa kwa kile ulichoandika.Hapa kuna ukweli kidogo. Kuna dada mmoja yupo Sweden ni Mtanzania ila aliniambia alikuja Ulaya kwa njia hii na yupo mpaka leo.
Ndio maana ndugu zetu Wakenya na Waganda hutuacha nyuma kila siku linapokuja swala la michongo na fursa za kwenda kuishi ulaya.