Njia pekee nyepesi ya kuingia Ulaya kwa wale wanaohitaji kujilipua ni hii...

England mbona super tu? UK ilikataa itifaki ya Sheghen viza na kubaki na UK viza na sterling pound yao walikuwa wanajihami nchi yao dhidi ya wahamiaji holela.

Mpaka Sasa kuna wahamiaji wapo nchi mbalimbali za ulaya wanatamani waingie tu UK.
UK afadhali,mtu anaweza fanya kazi hata kama hana legal permit. Tatizo UK ni visiwa. Kuingia huko ni ngoma nzito. Na kupata visa na kwenyewe si rahisi kihivyo.
 
Habari zenu wana JF wenzangu,

Wakati wabongo wakiwa busy kulaumiana kuhusu Panya Road, tozo na kuendekeza siasa uchwara.

Kwa upande wa Burundi maelfu kwa maelfu wanazidi kujilipua katika nchi mbali mbali za Ulaya kupitia Serbia.

Kinachotakiwa ni wewe kuwa na passport ya Burundi na 1300 usd mkononi tu.

Warundi wanazidi kumiminika ulaya kupitia njia hiyo, na nasikia kuna baadhi ya wabongo ambao wamekuwa wakivuka boda kuingia Burundi, wakishafika huko wanatafuta passport za kirundi za kusafiria kwa njia wanazozijua wao na hatimae kuondoka.

Huu ni mtonyo na tayari nimeshashuhudia baadhi ya warundi wakirudi kwao ili kwenda kujiandaa na mipango hiyo ya safari.
Kwahiyo kama kuna mbongo yoyote anaujua mchongo huu basi aje aeleze na yeye mawili matatu anayoyajua kuhusu safari hizi.
Hapo chini ni video ya warundi walioingia Serbia kupitia airport ya nchi hiyo.
View attachment 2366842View attachment 2369275
Jana nilisikia hbr hyo hapa ila vzr umeniwai na unefanya vzr mnk nilisahau

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Vipi ukifanikiwa kupata visa ya kwenda kutembea, unaweza tumia huo mwanya kuzamia?
Ndio njia rahisi, hata Marekani wengi wanaingia kwa visiting viza wanabadili status wakiwa Marekani na wengine wanatumia permit fake za Wanigeria, jichunge usifanye kosa tu la kukupeleka Polisi hapo permit fake yako ni lazima ibume kwenye system.

Nchi kama Canada inahitaji zaidi watu, lakini wanacontrol utowaji wa viza zao ila ukitusuwa kuingia hawana shida imetoka hiyo.

Na kingine ukiwa na kibali cha kuishi Canada maana yake Marekani unaingia kwa border entry tu kama wewe unavyokwenda Nairobi Kenya tu, Toronto to New York ni Masaa manne tu kwa gari.

Ili kuzuia Canada kuwa uchochoro wa kuingilia Marekani nao wamedhibiti utowaji wa viza yao ingawa kiukweli Canada inahitaji sana watu lakini inailinda Marekani pia kutumia kama transit ya kuingilia Marekani.

Canada ilishachukuwa wakimbizi wa Burundi kwenye makambi huko Ngara na kuleta ndege ikawapeleka Canada na kuwapa Uraia.
 
Mkuu kuna mtu toka 2010 hadi leo yuko bongo anapambana na hafanikiwi, na kuna mtu kaingia ulaya mwaka 2017 leo hii ana mafanikio mazuri tu na hana stress tena ya maisha.
Hebu jaribu kuelezea huyo aliyefika ulaya 2017 alitumia mbinu gani mpaka akafanikiwa. Alikua na ndugu? Kuna mtu alimpokea? Alienda kimagendo? Alikua anajishughulisha na nini? Sio mbaya pia nawewe utupe mkakati wako
 
Tatizo ndugu zetu wabongo wamesinzia sana. Ukileta taarifa za michongo kama hizi basi jua wengi watakudhihaki na kukuponda, ila ukileta zile zinazohusu Diamond, Zuchu, Kiba nk basi ujue utapongezwa na kusifiwa kwa kile ulichoandika.
Ndio maana ndugu zetu Wakenya na Waganda hutuacha nyuma kila siku linapokuja swala la michongo na fursa za kwenda kuishi ulaya.
Sana yani"
 
Vipi ukifanikiwa kupata visa ya kwenda kutembea, unaweza tumia huo mwanya kuzamia?
Sio rahic kiivo kama mnavyodhani kuna sister na bro wa 2 wapo uk na wana uraia kbs na ila imeshindikan kumchukua dogo akapat vibali vya kuishi amesharudishwa kama mara mbili ivi now anasomea ubaharia wa meli za nje uko huenda akatusua kwa njia iyo
 
Ndio njia rahisi, hata Marekani wengi wanaingia kwa visiting viza wanabadili status wakiwa Marekani na wengine wanatumia permit fake za Wanigeria, jichunge usifanye kosa tu la kukupeleka Polisi hapo permit fake yako ni lazima ibume kwenye system.

Nchi kama Canada inahitaji zaidi watu, lakini wanacontrol utowaji wa viza zao ila ukitusuwa kuingia hawana shida imetoka hiyo.

Na kingine ukiwa na kibali cha kuishi Canada maana yake Marekani unaingia kwa border entry tu kama wewe unavyokwenda Nairobi Kenya tu, Toronto to New York ni Masaa manne tu kwa gari.

Ili kuzuia Canada kuwa uchochoro wa kuingilia Marekani nao wamedhibiti utowaji wa viza yao ingawa kiukweli Canada inahitaji sana watu lakini inailinda Marekani pia kutumia kama transit ya kuingilia Marekani.

Canada ilishachukuwa wakimbizi wa Burundi kwenye makambi huko Ngara na kuleta ndege ikawapeleka Canada na kuwapa Uraia.
Kanada napatamani sana kuna ndugu yangu yupo huko hataki ujamaa kabisa na mtu,naskia ukiwa na ndugu ni rahisi kupata vibali...maana ni nchi kubwa na unahitaji watu.
 
Mi naoa sio mbaya mtu akajionee mwenyewe ugumu wa Ulaya kuliko kukatishana tamaa tu,hao warundi Wana watu wengi ulaya na USA,Canada ni tofauti na wabongo kwenye kusafiri.
 
Hakika mkuu, yani wabongo kwa kuvutana mashati ni kawaida sana.
 
Ndio njia rahisi, hata Marekani wengi wanaingia kwa visiting viza wanabadili status wakiwa Marekani na wengine wanatumia permit fake za Wanigeria, jichunge usifanye kosa tu la kukupeleka Polisi hapo permit fake yako ni lazima ibume kwenye system.

Nchi kama Canada inahitaji zaidi watu, lakini wanacontrol utowaji wa viza zao ila ukitusuwa kuingia hawana shida imetoka hiyo.

Na kingine ukiwa na kibali cha kuishi Canada maana yake Marekani unaingia kwa border entry tu kama wewe unavyokwenda Nairobi Kenya tu, Toronto to New York ni Masaa manne tu kwa gari.

Ili kuzuia Canada kuwa uchochoro wa kuingilia Marekani nao wamedhibiti utowaji wa viza yao ingawa kiukweli Canada inahitaji sana watu lakini inailinda Marekani pia kutumia kama transit ya kuingilia Marekani.

Canada ilishachukuwa wakimbizi wa Burundi kwenye makambi huko Ngara na kuleta ndege ikawapeleka Canada na kuwapa Uraia.
Duh ! Mzee hii ilikuwa ngekewa kabisa ,Mzee Baba
 
Kanada napatamani sana kuna ndugu yangu yupo huko hataki ujamaa kabisa na mtu,naskia ukiwa na ndugu ni rahisi kupata vibali...maana ni nchi kubwa na unahitaji watu.
Godbles Lema aliomba ukimbizi Canada akiwa Nairobi Kenya na akakubaliwa.

Kinachowasumbuwa wabongo ni kutopeana connection tu, Canada ni nchi inayohitaji sana raslimali watu.
Angalia Wahindi wa Bongo wanavyopeana mchongo wa Canada hadi kuna Mdosi Mtanzania ni meya kabisa Canada.
 
Canada watu wanakwenda kihalali kabisa.
 
Mtoa Mada upo sahihi, last month rafiki yangu Mburundi kaondoka, kaingilia Serbia na sasa yupo Germany!

Kutokana na matatizo ya mara kwa mara ya nchi yao, ni rahisi kwao kuvuka Boda.
 
umeshindwa wewe lkn acha wengine wafanye!! Wacha wapoteze mda...unataka muda wa ile unayo dhania ni faida tuuuu...no!! ...Hayo ni matumizi mabaya ya muda....muda ili upate thamani lazima upoteee. Usifikiri kijima.
Sawa mkuu,,

Kwa Kawaida ukweli wa ng'ambo hausemwi.

Usione watu wanarudi na mafanikio Kuna mengi huko usiyoyajuwa.

Maisha hayataki kujaribu haswa ukiwa over 40 years.

Muda wa kujaribu ni under 30.

Hata ukikaa ulaya miaka 20 mengine bila mafanikio bado huna Cha kujutia.

Mimi napenda kueleza ukweli uchungu.

Kama unajipatia kipato kizuri hapa nyumbani usiende kubahatisha maisha ulaya.
 
Back
Top Bottom