Mkuu kuna mtu toka 2010 hadi leo yuko bongo anapambana na hafanikiwi, na kuna mtu kaingia ulaya mwaka 2017 leo hii ana mafanikio mazuri tu na hana stress tena ya maisha.
Mwaka 2010 nilikuwa Greece.
Maisha yalikuwa magumu sana ,
Hata nikaamua kurudi nyumbani.
Kuna baadhi ya marafiki zng walinicheka sn,
2015 nikaingia italiy,
Ni miaka mitano baada ya kurudi Tanzania.
Nliipofika italy nikakutana na baadhi ya jamaa zng niliokuwa nao Greece kipindi kile 2010.
Wote hali zao ni mbaya kiuchumi,,sio pale italy wala nyumbani Tanzania.
Ni mimi nikawa nawapa euros 20 mara Euro 30 .,
Mimi niliporudi nyumbani nilifanya up and down nyingi mno,,
Na kusogea kimaisha kuliko wao waliobaki pale Greece,
Kufanikiwa kwa mtu ni bahati,
na pia inategemea anafanya shughuli gani,,
Usione mtu amepata mafanikio,
Kuna Kaka mwarabu huko ,,
Ulaya Sasa sio Kama miaka 30 iliyopita.
Kwa Sasa imeshachafuka sn,
Kila siku watu 5000 wanaoingia ulaya 3000 hawarudi makwao.
Africans,
Asians,
Arabs.
Ndy tatizo kwa Sasa ulaya.