Njia pekee nyepesi ya kuingia Ulaya kwa wale wanaohitaji kujilipua ni hii...

Vip ishu Canada Zimekaaje Kazi Zipi Ukifika Rahisi Kupata
 
Vip ishu Canada Zimekaaje Kazi Zipi Ukifika Rahisi Kupata
 
Tatizo lugha na watanzania wanajua kwenda nje ni gharama kubwa na wao kula yao ni shida
 
Kwa watu tulioishi ulaya Kama Mimi hunisumbuwi na ulaya.

Wengi hukimbilia ulaya sababu ya ulimbukeni mtupu.

Hivi mtu una kazi au shughuli zako za maana utakimbilia kupata $ 300 kwa mwezi?
Wazungu wenyewe wanakuja kuwekeza Zanzibar kwa kujenga vi Restaurant ambavyo wabongo wanaweza kuwekeza , wanasema kwao hakuna fursa biashara wanayoiwekeza hapa kwao haiwezekani , maana kwao huwezi kufungua Min super market.
 
Wakati raia wengine wa Afrika Mashariki wakichangamkia fursa za kwenda ulaya kutengeneza maisha yao, wabongo wao wako busy kutafuta taarifa za dimpozi na baba yake, sijui haji manara kuongeza mke wa pili, dudubaya kujiunga wasafi nk.
Wabongo tunatia aibu sana hapa Afrika Mashariki.
Imagine watu tunashindwa hata na warundi kuchangamkia fursa.
 
Wazungu wenyewe wanakuja kuwekeza Zanzibar kwa kujenga vi Restaurant ambavyo wabongo wanaweza kuwekeza , wanasema kwao hakuna fursa biashara wanayoiwekeza hapa kwao haiwezekani , maana kwao huwezi kufungua Min super market.
Aliewaroga wabongo ana dhambi sana aisee.
Ni sawa na mtu anaemroga chizi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
fursa hiyo tuichangamkie tumpe na sapoti kijana mwenzetu aliyeamua kujitolea kutuelimisha
Hii video wabongo wengi wataipita kama hawaioni, lkn ungeweka video inayozungumzia matumizi ya vumbi la kongo kama alivyosema mh raisi jana basi saa hizi huko youtube kungekuwa hapatoshi kwa Like na maswali ya wabongo wanaotaka kulitumia.
 
Sie wabongo ni shida sana mkuu,kwenye video wakenya wanamuuliza jamaa ataenda lini kwao!sie tuko busy na birthday ya wema sepenga badala kudeal na vitu vya maana!
 
Sie wabongo ni shida sana mkuu,kwenye video wakenya wanamuulizq jamaa ataenda lini kwao!sie tuko busy na birthday ya wema sepenga badala kudeal na vitu vya maana!
Wabongo tuko nyuma kwa mambo mengi yenye faida na manufaa kwa mwanadamu. Na tuko mbele kweny mambo yasiokuwa na faida wala manufaa kwa mwanadam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…