Njia rahisi inayoweza kumsaidia mwanamke aliyepo kwenye uchumba sugu, kupata ndoa

Endelea hivyo ipo siku utapata ndoa yako.
Swali linaboa
 
9 out of 10 times wanawake wanakosa ndoa kwa sababu ya maturity difference between men and women. Women mature earlier than men. Inasemekana a woman's mind thinks 3 yrs ahead of her age. Kwaio a 27yr old woman mtazamo wake abt life haupishani saana na kijana wa miaka 30.
Tatizo n kwamba tunapata mahusiano tukiwa vyuoni and the likes, so unakuta watu tulionao ni agemates wetu. Therefore, mwanamke akifika wakat wa ndoa, agemate wake ndo kwaaanza anapuyanga duniani.
Suluhisho ni simpo, kama unataka kuolewa nenda katafte limsela kuanzia 30's huko, hao ndo hua hawana longolongo. Kama unataka mapenzi plus ndoa komaa na kijana wako
 
Ila si ya kuanza kuulizana babu wee kuna raha mwanaume kuanza mwenyewe bwana [emoji4][emoji4][emoji4]
Kuna baadhi ni wagumu kulianzisha, wakishapata uhakika wa kumwagia ndani, hawakumbuki ndoa
 
Laki mbili hii hii kweli nikaifanyie iyo anasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]alafu anakuja kuoa aliempikia ugali na matembele chukuchuku[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Laki mbili hii hii kweli nikaifanyie iyo anasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]alafu anakuja kuoa aliempikia ugali na matembele chukuchuku[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Itumie jioni ya leo; jumamosi ijayo tuje kwenye harusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…