Njia rahisi ya kuua upinzani ambayo Hayati Magufuli hakuitaka. Inafanya kazi vizuri

Hivi mtu unakuwaje mshabiki wa CCM? Nashangaa sana jambo hili!
 
Principle gani aliyokuwa nayo Magufuli?
Kuna rais aliyekuwa akihonga wapinzani kama Magufuli?
Magufuli alikuwa akinunua wabunge, madiwani na wenyeviti wa upinzani kwenda CCM na kiwapitisha bila mchakato wa kura za maoni ndani ya chama

Hakuna mnafiki kama yule mpumbavu, nyie mazezeta ndio mnaona alikuwa malaika
 
Hv ukitoa cdm na act ambao ni ndumila kuwili bongo kuna chama cha upinzani kweli!!???
 
Wewe ndio hujui Siasa za nchi hii.

Kikwete alikula nao lakini alivuna alichopanda.

JPM ndio aliuwa upinzani wa nchi hii. Aliwashika hadi wakachoka. Sasa hivi wanapumua baada ya kupitia msoto. Hadi 2025 watakuwa wamepata nguvu tena.
 
Hilo wazo ni zuri sana na ndio ambavyo hata JK aliishi nao vizuri hao wapinzani kwa kuwakaribisha chai Ikulu.

Lema ana nguvu za kubwabwaja sababu account yake imeshameza million kadhaa kabla hata hajapanda ndege kuja huku.

Wapinzani viherehere siku zote wako kwenye payroll ya raisi. Magufuli hakuona sababu ya kuwalipa ndio maana walikuwa wanamchukia sana. Ndio siasa ya bongo hio, mtu ana jeuri ya kusema hana njaa kwenye Media na kutukana boda boda. Asingeweza kufanya hivyo zama za Magu na ndio maana njaa ilipowazidia walikimbilia uhamishoni kwa kusingizia eti wako hatarini. 🤣
 
Lema ni mropokaji, hii imeumiza wengi hasa JK
Ndio wapinzani wanapopata kula yao. Yani huyo kumnyamazisha ni kupitia kibunda ndio anatulia tulia kidogo.
Zitto ndio siasa yake naye ya kupika makelele.
Mbowe naye kimya naona kashalipwa fidia ya billicanas.
 
Magufuli hakuwa kiongozi mnafiki atleast to CCM na wapinzani. Na ndio maana aliweza kufanya aliyoyafanya bila kukwama hadi walipoamua kumu assasinate.
 

Naona mmeanza kucheza ngoma ya CHADEMA. Viva CHADEMA kwa strategy nzuri.
 
Wewe ndio hujui Siasa za nchi hii.

Kikwete alikula nao lakini alivuna alichopanda.

JPM ndio aliuwa upinzani wa nchi hii. Aliwashika hadi wakachoka. Sasa hivi wanapumua baada ya kupitia msoto. Hadi 2025 watakuwa wamepata nguvu tena.

JPM aliua Upinzani gani? Maana kafa yeye kaacha Upinzani unaendelea.
 
YES, MUNGU HUWA ANANJIA YAKE YA KUWAOKOA WATU WAKE, ILA SABABU YA UPUMBAVU WAO WANAWEZA ANGAMIA. CHADEMA HAIKUTAMBUA MAGUFULI ALIKUWA SABABU YA WAO KUIMARIKA NA KUJUA KUJITEGEMEA SASA HIVI WATAKUFA.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…